Bodi ya Shule ya Sekondari Bagamoyo yawasimamisha Masomo wanafunzi nane

Bodi ya Shule ya Sekondari Bagamoyo yawasimamisha Masomo wanafunzi nane

Nilidhani kuna Mungu mmoja kumbe ni wawili, wa kweli wa amani na upendo, mwingine ni wa vurugu na kiu ya damu za watu wasio na hatia asiyeweza kijitetea mpka atetewe na viumbe wake. kweli ujinga ni mZigo mzito

Hujajibu swali
 
Taarifa nilizozipata hivi punde ni Kuwa RC Mwantumu Mahiza ameifunga Shule kwa muda usiojulikana na NAURI za kuwarudisha Wanafunzi kwao anatoa yeye , Wanafunzi wanaotoka karibu na shule wameshaondoka.

Shuleni palijaa Wanajeshi ,Polisi na viongozi mbalimbali wa ulinzi. Duuuuuuuuu

Mpaka sasa baadhi ya Walimu wako bado Ofisini wakiangalia taarifa za kila mwanafunzi kwenye mafaile kila mmoja anakotoka waandae NAURI za kila mmoja kuanzia kesho.

Overeacting
 
Natoa wito kwa wazazi, mtoto wako akifaulu kwenda mikoa ya pwani usimpeleke mtafutie shule mahali kwingine. Huko pwani waachieni wao na ngoma za kucheza wali.
 
Nimekukubali M.L. hawa jamaa kazi yao kutoa wali wao nje na kuwacheza ngoma. Majini nayo ni sehemu yao ya kuyachezea ngoma wasije wakakosa wake au waume wa ujinini wakifa, eti ndo starehe yenynyewe. . Kaeni na Waislamu wenzenu walioelimika ki ukweli hawana upuuzi huu. Mwalimu eti kaomba radhi ni uzushi wako. Nimekuwepo karibu na eneo la tukio na mwanangu ni mmoja wa vijana wanaosoma hapo, anasikitikia waislamu wenzetu kueneenda pasi na hekima. Tumemlea vizuri lakini ameomba tumhamishe kisa uislamu unapotoshwa na kuchanganywa na biashara za wachache. Amani haipo tena, hata msikitini swala zimegeuka, ni majungu tu. Tumswalieni mtume tuache ushamba. Hapa tulipo tunatafuta shule mwanetu amechoshwa na yanayofanywa na waislamu wenzake, kwa kisingizio cha dini.
Mwalimu kuomba msamaha si kweli huyu mleta mada amsalie mtume aache kudanganya. Uislam ni swala, siyo magomvi. Enyi ndugu zetu wa pwani acheni kuchanganya dini na uvivu wenu.

Ukweli walimu waislamu wengi wao niwachochezi mno. Katika shule ya msingi mapambano ,kuna mtoto wa darasa la 5 aliadhibiwa kwa kuvaa soksi chafu.mwalimu aliyemwadhibu ni mkristo.Palikuwa na mwl.mkuu msaidizi mwislamu akaripoti kisa cha mtoto kuadhibiwa na mwalimu msikitini pale Mwenge.Basi,msikiti ukavamia shule ile kwa mawe.Eti mwl.mkristo kampiga binti kwa kuvaa hijabu,shitaka tofauti na mahali pasipopaswa kushitakia. Hao ndivyo walivyo.

Na huko Mbagala walimu wakristo wamefika mahali wanachelea kuwaadhibu wanafunzi waislamu.Walimu wakristo wakiwaadhibu wanafunzi waislamu panazuka machafuko shuleni.
Wanafunzi wakiislamu wameachwa wajilee kama kuku wa kienyeji katika shule nyingi huku Dar na Pwani.

Hapana shaka huo ni mkakati na mpango mahususi wa shetani kuwazuilia waislamu wasipate elimu ya kimagharibi (Boko Haramu=Elimu ya kimagharibi ni haramu). Waislamu wengi wasomi wa kimagharibi wamefika mahali wanahoji msimamo wa elimu kiislamu kwa wanawake. Huko uturuki wanazuoni, masheikh wamerekebisha madai ya Khaditi za mtume zinazomtaka mwanamke mwiislamu kutosoma ila tu anaweza kujua kusoma na kuandika tu. Kumbuka suala la binti Masala aliyelazwa huko Uingereza akitibiwa majeraha ya risasi za watalebani kumnyamazisha Masala asitetee elimu kwa wanawake.
 
maelezo yako yamejaa umbea, sioni uhusiano. unasaidiwa kufikiri?
 
Arinashi ,Mie nakubariana na wewe,hata wale wanafunzi wachache wa Kiislamu na Wale wa Kikristo wanasema kama Mwalimu ameomba samahani asamehewetu ,Pia kumbuka Nyumba anayoishi iko hapo Shule hivyo ule muda wa Asubuhi anapoomba Samahani Mstarini mpaka mkewe na wanawe wanamuona akiomba samahani.Kwanini tusimsamehe huyu Mtu,maana jinsi anavyoathirika kisaikolojia inatosha kabisa .

nasikia ameapia akisikika kuwa wanfnz wakirudi wa kiislam ama zao,
 
Back
Top Bottom