Bodi ya wakurugenzi Microsoft kumchunguza Bill Gates kutokana na tuhuma za kutembea na mfanyakazi

Mbona wanazungumzia yaliyopita, kwamba "Alichunguzwa"...siyo kwamba atachunguzwa!
Alianza kuchunguzwa kitambo... na watu wanaamini sababu ya yeye kuachia ngazi pale MS ni baada ya kuanza kwa huo uchunguzi (back in 2019)!!

Nadhani kinachofanyika hivi sasa ni media kuendelea kuunganisha dots kutokana na talaka ya hivi karibuni kwamba, kumbe Mzee alikuwa mtu wa totoz wa pale ofisini kwake tangia kitambo!!

Na ukisoma katikati ya mstari, ex-wife wake alichukizwa zaidi na ukaribu wa Bill na Jeffrey Epstein aliyekuwa na kashfa ya kufanya sex trafficking!

Sasa mama akifikiria mzee alivyokuwa ananyemelea totoz hapo ofisini, na mara ghafla zikavuja habari za ukaribu wa Bill na sex offender, basi si ajabu mama akaona hata huo ukaribu ulitokana na mambo ya totoz...
 
Walikuwa wanatembea mwendo wa haraka, fang fang, au kwa mwendo pole?
 
Huu mtego sijui huwa ni maarifa ya Mungu au ni nguvu ya ibilisi!!!, Mungu ndiye alituumba kwanini aliweka huu udhaifu!!? Kama ni Ibilisi je anafaidika nini watu tunapodhalilika?
 
We
Wewe una fulaha?( Furaha)hahaaa kuna kaukweli .mkuu
 
Ingekuwa bongo huyo mchepuko wa Bill Gates angeundiwa tume ya wadada wenye madela kumchamba kutoka kwa ex wife wa Bill Gates
 
Lkn kweli trust nobody...Bill Gates ukimwangalia ni kama "mshamba" flan kumbe ni fisadi kiwembe kubabeki [emoji1787]
Hahahahah hivyo ndivyo inavyotakiwa. Hutakiwi kukaririka. Nani alijua kama Bill ni kiwembe kiasi hicho?[emoji23]
 
Hii yote ni kazi ya Ndugai! Huu upuuzi anauoufanya pale kwenye kiti cha spika huu ngoja tu
 
Kama sikosei mke wake nae alikua mfanyakazi wa Microsoft. Sijui walioana ndio akapata ajira au aliajiriwa Microsoft ndio akaanza kutoka nae.
 
Huu mtego sijui huwa ni maarifa ya Mungu au ni nguvu ya ibilisi!!!, Mungu ndiye alituumba kwanini aliweka huu udhaifu!!? Kama ni Ibilisi je anafaidika nini watu tunapodhalilika?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Lana ya kutenegeneza Corona jamaa imeanza kumtafuna kidogo kidogo
Mtu yoyote anaemini Bill gates katengeneza Corona kupata Hela haelewi hata Dunia inaendaje.

Bei ya Vaccine ya Corona ina range $3 mpaka $37 na Duniani kuna watu bilioni 8,

Assume dunia nzima tunachanjwa na wote tumenunua kwa Bill gate basi gharama ni dola 24B kwa kiwango cha chini na $296B kwa kiwango cha Juu,

Bill alikuwa na hisa Microsoft asilimia 49, Microsoft ina thamani ya 1.82 Trillion dollar ina maana angeacha hisa zake basi thamani yake Microsoft tu ni around Billion 900, ambazo si Musk, Jeff ama Tajiri yoyote angegusa hapo.

-1999 aligawa kama charity 16B kwenye misaada
-kuanzia 2000 mpaka sasa around 53B amespend

Hivyo jamaa zaidi ya 70B usd ametoa kwenye misaada na vimbele mbele wa kupokea misaada ni sisi, hio misaada yake ndio imesambazwa Taasisi mbalimbali, utajiri wake haukui kama wengine Sababu a natoa, angekua anachotaka ni hela kuna njia nyengine efficiency nyingi tu za kumuingizia hela.

Unless useme kuna motives nyengine ambazo si hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…