Mtu yoyote anaemini Bill gates katengeneza Corona kupata Hela haelewi hata Dunia inaendaje.
Bei ya Vaccine ya Corona ina range $3 mpaka $37 na Duniani kuna watu bilioni 8,
Assume dunia nzima tunachanjwa na wote tumenunua kwa Bill gate basi gharama ni dola 24B kwa kiwango cha chini na $296B kwa kiwango cha Juu,
Bill alikuwa na hisa Microsoft asilimia 49, Microsoft ina thamani ya 1.82 Trillion dollar ina maana angeacha hisa zake basi thamani yake Microsoft tu ni around Billion 900, ambazo si Musk, Jeff ama Tajiri yoyote angegusa hapo.
-1999 aligawa kama charity 16B kwenye misaada
-kuanzia 2000 mpaka sasa around 53B amespend
Hivyo jamaa zaidi ya 70B usd ametoa kwenye misaada na vimbele mbele wa kupokea misaada ni sisi, hio misaada yake ndio imesambazwa Taasisi mbalimbali, utajiri wake haukui kama wengine Sababu a natoa, angekua anachotaka ni hela kuna njia nyengine efficiency nyingi tu za kumuingizia hela.
Unless useme kuna motives nyengine ambazo si hela.