Mr Gudraph
Member
- Oct 2, 2018
- 22
- 6
Ahsante!! mkuu kwa ushauri wa wakoAnza kucontrol chakula unachokula kwanza...
Kula chakula unachoweza kukitumia
Mfano:ukila chakula kingi usiku muda mwingi unakuwa umelala kwahio chote kinakuwa converted kwenda kwenye fats.
Fanya uwe unakula sana asubuhi mchana unapunguza zaidi halafu jioni unakula matunda tu kisha unalala.
Mazoezi unaweza amua mwenyewe kama unaenda gym au unaweza kukimbia jioni au asubuhi..
***ukitaka kupungua weka discipline kwenye chakula tu..
NB: kupungua sio kazi rahisi...mimi hapa najua njia karibia zote lakini kila nikijaribu sina consistency hata ya wiki moja..yaani unahitaji kuwa commited kweli kweli..mimi nimeamua kulidhika na mwili wangu tu maana kama ni kufa tutakufa wote tu
Anza kucontrol chakula unachokula kwanza...

Sure mkuu...watu wakiwa wanashauri wenzao kupungua unaweza kudhani ni kitu easy tu..Nakuunga mkono mkuu, mimi saivi najiachia tu kuwa bonge sio dhambi maana na mimi ni sura na mfano wa mwenyezi mungu vile vile.
Anything goes.
Kumbuka njia iendayo mbinguni ni nyembamba mkuu.Sure mkuu...watu wakiwa wanashauri wenzao kupungua unaweza kudhani ni kitu easy tu..
Mimi hapa sitaki kupungua tena na mpaka sasa hivi nimezika watu kibao tu wembamba kwahio kqma ni kufa anakufa yeyote au mnene au mwembamba na mbinguni Mungu hachagui umbo
Na wewe kuwa makini mzee usijeenda motoniKumbuka njia iendayo mbinguni ni nyembamba mkuu.
Kuwa makini usije sema hukuambiwa.
Anza kucontrol chakula unachokula kwanza...
Kula chakula unachoweza kukitumia
Mfano:ukila chakula kingi usiku muda mwingi unakuwa umelala kwahio chote kinakuwa converted kwenda kwenye fats.
Fanya uwe unakula sana asubuhi mchana unapunguza zaidi halafu jioni unakula matunda tu kisha unalala.
Mazoezi unaweza amua mwenyewe kama unaenda gym au unaweza kukimbia jioni au asubuhi..
***ukitaka kupungua weka discipline kwenye chakula tu..
NB: kupungua sio kazi rahisi...mimi hapa najua njia karibia zote lakini kila nikijaribu sina consistency hata ya wiki moja..yaani unahitaji kuwa commited kweli kweli..mimi nimeamua kulidhika na mwili wangu tu maana kama ni kufa tutakufa wote tu
Sio rahisi mkuu.Hahaha unajua cha kufanya ila hufanyi!
Nakuunga mkono mkuu, mimi saivi najiachia tu kuwa bonge sio dhambi maana na mimi ni sura na mfano wa mwenyezi mungu vile vile.
Anything goes.
Naona vibonge mnapeana moyo wa kuendelea kunenepeanaSure mkuu...watu wakiwa wanashauri wenzao kupungua unaweza kudhani ni kitu easy tu..
Mimi hapa sitaki kupungua tena na mpaka sasa hivi nimezika watu kibao tu wembamba kwahio kqma ni kufa anakufa yeyote au mnene au mwembamba na mbinguni Mungu hachagui umbo
Wewe komaa na wembamba wako mkuuNaona vibonge mnapeana moyo wa kuendelea kunenepeana
πππSure mkuu...watu wakiwa wanashauri wenzao kupungua unaweza kudhani ni kitu easy tu..
Mimi hapa sitaki kupungua tena na mpaka sasa hivi nimezika watu kibao tu wembamba kwahio kqma ni kufa anakufa yeyote au mnene au mwembamba na mbinguni Mungu hachagui umbo
Ni easy tu ukiamua,nilipunguza uzito kutoka kg.85 mpaka 75 ndani ya mwezi mmoja,ukipungua uzito sio kwamba hutakufa lakini mwili wako unakuwa healthy zaidi,mf.mimi nilifikia mahali hata kufunga viatu ilikuwa ni shida kwa ajili ya kitambi,nikitembea kidogo ilikuwa majanga unahema kama umekimbia kilometa moja,kuchuchumaa pia ilikuwa ni majanga,hata performance ilikuwa imeshuka sana kipindi hicho kwani unapomaliza unachoka sana tofauti na nilivyo sasa...Sure mkuu...watu wakiwa wanashauri wenzao kupungua unaweza kudhani ni kitu easy tu..
Mimi hapa sitaki kupungua tena na mpaka sasa hivi nimezika watu kibao tu wembamba kwahio kqma ni kufa anakufa yeyote au mnene au mwembamba na mbinguni Mungu hachagui umbo
Mi nilikuwa kibonge mkuu...ila nikajikataa kwa miezi 3 mfululizo. Yaani no wali, no ugali, no chips, i mean no wanga aina yoyote kwa muda wa miezi 3 mfulululizo na nimetoka kilo 88 now nina kilo 74.na safari bado inaendelea mpako nifikie lengo la kilo 70. Now nakula wanga mara mbili kwa wiki,sikiu zilizobaki nakula nyama,samaki, karanga, matunda, na maziwa.yaani sa iv ubonge bye bye nguo zangu now zinanivuka hadi rahaWewe komaa na wembamba wako mkuu
Uchumi wako uko flesh mkuu...kula samaki ,nyama ,matunda kama mlo sio kazi ndogo lazima utumie budget ya maanaMi nilikuwa kibonge mkuu...ila nikajikataa kwa miezi 3 mfululizo. Yaani no wali, no ugali, no chips, i mean no wanga aina yoyote kwa muda wa miezi 3 mfulululizo na nimetoka kilo 88 now nina kilo 74.na safari bado inaendelea mpako nifikie lengo la kilo 70. Now nakula wanga mara mbili kwa wiki,sikiu zilizobaki nakula nyama,samaki, karanga, matunda, na maziwa.yaani sa iv ubonge bye bye nguo zangu now zinanivuka hadi raha