Body Exercise

Body Exercise

Mr Gudraph

Member
Joined
Oct 2, 2018
Posts
22
Reaction score
6
Nahitaji kupunguza uzito na pia najiona kama mwili wangu upo shapeless hv!!!
Sijui nifanye mazoezi ya ainagani ili kuondokana na hili balaaa????
 
Anza kucontrol chakula unachokula kwanza...
Kula chakula unachoweza kukitumia
Mfano:ukila chakula kingi usiku muda mwingi unakuwa umelala kwahio chote kinakuwa converted kwenda kwenye fats.

Fanya uwe unakula sana asubuhi mchana unapunguza zaidi halafu jioni unakula matunda tu kisha unalala.

Mazoezi unaweza amua mwenyewe kama unaenda gym au unaweza kukimbia jioni au asubuhi..

***ukitaka kupungua weka discipline kwenye chakula tu..

NB: kupungua sio kazi rahisi...mimi hapa najua njia karibia zote lakini kila nikijaribu sina consistency hata ya wiki moja..yaani unahitaji kuwa commited kweli kweli..mimi nimeamua kulidhika na mwili wangu tu maana kama ni kufa tutakufa wote tu
 
Ahsante!! mkuu kwa ushauri wa wako
 
Nakuunga mkono mkuu, mimi saivi najiachia tu kuwa bonge sio dhambi maana na mimi ni sura na mfano wa mwenyezi mungu vile vile.
Anything goes.
 
Sure mkuu...watu wakiwa wanashauri wenzao kupungua unaweza kudhani ni kitu easy tu..

Mimi hapa sitaki kupungua tena na mpaka sasa hivi nimezika watu kibao tu wembamba kwahio kqma ni kufa anakufa yeyote au mnene au mwembamba na mbinguni Mungu hachagui umbo
 
Kumbuka njia iendayo mbinguni ni nyembamba mkuu.
Kuwa makini usije sema hukuambiwa.
 
Pia zingatia kuwa ipo miili ya asili hata ufute taratibu zipi haibadiliki zaidi utajiletea matatizo, fanya mazoezi kama sehemu ya maisha ,zaidi ya hapo unamkosoa mungu.
 
fanya cardioboxing, Jogging, na kuruka kamba.

Nb. Diet control will be the basic way for a best results!
 
Anza kucontrol chakula unachokula kwanza...
Kula chakula unachoweza kukitumia
Mfano:ukila chakula kingi usiku muda mwingi unakuwa umelala kwahio chote kinakuwa converted kwenda kwenye fats.

Fanya uwe unakula sana asubuhi mchana unapunguza zaidi halafu jioni unakula matunda tu kisha unalala.

Mazoezi unaweza amua mwenyewe kama unaenda gym au unaweza kukimbia jioni au asubuhi..

***ukitaka kupungua weka discipline kwenye chakula tu..

NB: kupungua sio kazi rahisi...mimi hapa najua njia karibia zote lakini kila nikijaribu sina consistency hata ya wiki moja..yaani unahitaji kuwa commited kweli kweli..mimi nimeamua kulidhika na mwili wangu tu maana kama ni kufa tutakufa wote tu

Hahaha unajua cha kufanya ila hufanyi!
 
Nakuunga mkono mkuu, mimi saivi najiachia tu kuwa bonge sio dhambi maana na mimi ni sura na mfano wa mwenyezi mungu vile vile.
Anything goes.
Sure mkuu...watu wakiwa wanashauri wenzao kupungua unaweza kudhani ni kitu easy tu..

Mimi hapa sitaki kupungua tena na mpaka sasa hivi nimezika watu kibao tu wembamba kwahio kqma ni kufa anakufa yeyote au mnene au mwembamba na mbinguni Mungu hachagui umbo
Naona vibonge mnapeana moyo wa kuendelea kunenepeana
 
Sure mkuu...watu wakiwa wanashauri wenzao kupungua unaweza kudhani ni kitu easy tu..

Mimi hapa sitaki kupungua tena na mpaka sasa hivi nimezika watu kibao tu wembamba kwahio kqma ni kufa anakufa yeyote au mnene au mwembamba na mbinguni Mungu hachagui umbo
😀😀😀
 
Ni easy tu ukiamua,nilipunguza uzito kutoka kg.85 mpaka 75 ndani ya mwezi mmoja,ukipungua uzito sio kwamba hutakufa lakini mwili wako unakuwa healthy zaidi,mf.mimi nilifikia mahali hata kufunga viatu ilikuwa ni shida kwa ajili ya kitambi,nikitembea kidogo ilikuwa majanga unahema kama umekimbia kilometa moja,kuchuchumaa pia ilikuwa ni majanga,hata performance ilikuwa imeshuka sana kipindi hicho kwani unapomaliza unachoka sana tofauti na nilivyo sasa...
 
Wewe komaa na wembamba wako mkuu
Mi nilikuwa kibonge mkuu...ila nikajikataa kwa miezi 3 mfululizo. Yaani no wali, no ugali, no chips, i mean no wanga aina yoyote kwa muda wa miezi 3 mfulululizo na nimetoka kilo 88 now nina kilo 74.na safari bado inaendelea mpako nifikie lengo la kilo 70. Now nakula wanga mara mbili kwa wiki,sikiu zilizobaki nakula nyama,samaki, karanga, matunda, na maziwa.yaani sa iv ubonge bye bye nguo zangu now zinanivuka hadi raha
 
Uchumi wako uko flesh mkuu...kula samaki ,nyama ,matunda kama mlo sio kazi ndogo lazima utumie budget ya maana
 
Back
Top Bottom