Body language.. Facial expression vinatambulisha mzigo mzito aliobeba moyoni

Najaribu kufuatilia voice inayotoka kwenye koo langu, nawaza sijiamini lakini 😳😳😳 nahisi ujasiri niliokuwa nao awali umepotea ghafla...

Anyway, tuombeane uzima na Afya, I hope nitameza Amitriptyline 😳😳
Dah umetaja hiyo dawa umenikumbisha mbali sana, afya ya akili
 
'The Mad Queen' laana inamtafuna taratibu.
 
Mama wa watu shavu linatepeta tuu.
Hayuko sawa kabisaaa. Sijui aliwaza nini kuruhusu yale ya October yatokee. Ila watu walimwambia sana kabla.. Polepole, Gwajima, wanaharakati, watu mbalimbali kupitia mitandao.. Ila kiburi kilikuwa juu sana wakati ule, na wapambe nao ndio walikuwa hawachezi nae mbali! Akaingia kwenye kumi na nane zao.

Hivi zile kampeni za kipuuzi hakushtuka tu kuwa kuna tatizo? Kampeni mlipe watu waje, na bado wakipokea hela inabidi muwadanganye kwa wasanii, muwazuie kuondoka baada ya shows kuisha! Hakushtuka tu kuwa hakubaliki?! Bado uchaguzi uibe mchana kweupeee, kwa kuhisi Watanzania wajinga, hawaoni. Tena uibe kwa kitoto kweli bila hata aibu.! Yani yeye na washauri wake wote akili zao zimeonekana zilivyo boko. Bado mauaji ya raia yale.. nani aliruhusu?? Hapa hakwepi kabisa, wale askari hawawezi kufyatua risasi bila order yake. Aenjoy sasa matunda ya kiburi, ushauri wa Kiziga na mwanae na mkwe. Afurahie maisha, hana haja ya kuwa na depression.
 
 
Go mama Samia goooooo, wanazidi kuchanganyikiwa tu Huku. Sasa, baada ya kufeli maandamano yao katika namna ambayo hawaamini na vile "vimbelembele" kutoka Kenya vilivyokuja kujaribu wakifikiria Huku ni kwa raila wanayemuangalia mpaka makende kuona kama yametairiwa au la nao wakiwa wameadabishwa katika namna ambayo hawatamani tena, basi mijadala yao Sasa imehamia katika kujadili vitu vidogo kama hivyo.......wanajadili khanga au kitenge ulichovaa, wanajadili kandambili, wanajadili hereni au wanja na upuuzi upuuzi mwingine mwingi bila kusahau kuzusha hili na lile kama kawaida yao.

Sijui kama sentence yangu sio ndefu kuliko zote tangu 2026 ianze.
 
Naona kama kawaida yako , unajitekenya na kucheza mwenyewe. Kumbe Una borderline psychotic disorder. Kesho Nina uhakika utakuja na story nyengine.. Na chengine hiyo milion 20 itasamsaidia nini Yule kichaa wenu gerezani? Kwani mmeshaigeuza kuwa propaganda material .. Samia ndiyo Rais na ataendelea kuwa Rais na kibaya zaidi atamuwa Nani awe Rais wakomkwa Miaka Kumi baada ya yeye kuondoka madarakani
 
Mwaka huu siyo wa kuendeleza uchawa na kujipendekeza Bali ni mwaka wa toba na kutoidanganya tena nafsi yako ili uanze upya na kuwa mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…