Body language.. Facial expression vinatambulisha mzigo mzito aliobeba moyoni

Mwaka huu siyo wa kuendeleza uchawa na kujipendekeza Bali ni mwaka wa toba na kutoidanganya tena nafsi yako ili uanze upya na kuwa mpya.
Na Wala sio mwaka wa kukaa tu na kuzusha zusha hili na lile Ili kina tundu, mange na maria wakusifie.......na ikiwezekana uingoe kwenye mgao wa ford foundation.

Karibu liwale mkuu, Sasa hivi tunapanda karanga, mahindi, njugu na mbaazi. Karibu sana. Hakuna hata namba yangu hapo kwamba pengine nahitaji uteuzi.
 
Macho yanaongea .. Sura inasema.. The guilty are afraid...! Yaliyomo moyoni mwa mtu akishindwa kuyadhibiti hujitambulisha kwa uwazi kwenye macho na taswira kupitia sura yake!

Furaha
Huzuni
Fadhaa
Sintofahamu
Maumivu
Uoga
Uongo
Ukweli
Bashasha
Kimuhemuhenk

Hali zote hizi huweza kutambuliwa kwa urahisi kupitia utambuzi wa macho na taswira..

Jinsia pinzani ni wepesi sana kuathiriwa na hizi hali za hisia za kiroho.. Katika hali kama hizi si vema kuwapa hadhira aongee lolote ama chochote! Ataharibu! Kwakuwa atataka kujikaza kisabuni na kutaka kuonesha uimara.. Hapo ndio atazidi kutoa boko

Baadhi ya hizo hizo zitakufanya
Ukose nuru usoni
Taswira isawajike
Macho yazamwe ndani
Ngozi ifubae
Ngozi ipate makunyanzi

Macho yakose uimara wa kutazama hadhira

Ana mzigo mzito moyoni
Kachoka
Kazeeka
Hajiamini
Anaugua hata kama haumwi
Amejawa na hamaniko
Ana wasiwasi
Hana amani

Hajioni kama ni yeye yule
Hajisikii wepesi wa ukuu bali uzito na fukuto la kukataliwq😭

Hizi sio hali za kumcheka wala kumdhihaki. Zinatupata sote maishami japo si kwa ukubwq wake
Naamini angetamani arudishe muda nyuma.. Judy Boucher aliimba.. If i can turn back the time..!
Wengi tunakutana na hizi hali kutamani kurudisha wakati nyuma.. Lakini dunia haina kinyume na wakati hauna rivasi

Ulishaharibu kubali kuishi na maumivu ama kubali kutubu na kusimama tena.. Ukijitia kigego na banditu 2026 inakusubiri izidi kukunyoosha na kukutafuna mpaka ikumalize
Kiburi si maungwana.. Happy new year 2026!View attachment 3523313

Yeye si alijizima data kuwa ameshinda kwa 98% ikimaanisha wananchi Milioni 32 wanampenda kwanini atoe oda ya kuua???

ILa watanzania mandondocha Sana yaani ufisadi wote ule wa Abdul bado tunamchagua tena ili afisadi zaidi nchi kwa kuuza Rasimali nchi kwa waarabu kama alivyofanya kwenye Bandari.

MUNGU usikie kuomba kwetu huyu afe January hii, tuwe huru na Amani pasipo kutekana Wala kuuana na tuwe huru kuzungumza.

Amen
 
Na Wala sio mwaka wa kukaa tu na kuzusha zusha hili na lile Ili kina tundu, mange na maria wakusifie.......na ikiwezekana uingoe kwenye mgao wa ford foundation.

Karibu liwale mkuu, Sasa hivi tunapanda karanga, mahindi, njugu na mbaazi. Karibu sana. Hakuna hata namba yangu hapo kwamba pengine nahitaji uteuzi.
Wewe panda na kusifia maiti sifa asizokuwa nazo ila siyo mwaka huu tena! Jikatae chawa uhangaike na kilimo na Mimi mlaji nasisubiri hizo karanga huku mtukula nizitafune.
 
Macho yanaongea .. Sura inasema.. The guilty are afraid...! Yaliyomo moyoni mwa mtu akishindwa kuyadhibiti hujitambulisha kwa uwazi kwenye macho na taswira kupitia sura yake!

Furaha
Huzuni
Fadhaa
Sintofahamu
Maumivu
Uoga
Uongo
Ukweli
Bashasha
Kimuhemuhenk

Hali zote hizi huweza kutambuliwa kwa urahisi kupitia utambuzi wa macho na taswira..

Jinsia pinzani ni wepesi sana kuathiriwa na hizi hali za hisia za kiroho.. Katika hali kama hizi si vema kuwapa hadhira aongee lolote ama chochote! Ataharibu! Kwakuwa atataka kujikaza kisabuni na kutaka kuonesha uimara.. Hapo ndio atazidi kutoa boko

Baadhi ya hizo hizo zitakufanya
Ukose nuru usoni
Taswira isawajike
Macho yazamwe ndani
Ngozi ifubae
Ngozi ipate makunyanzi

Macho yakose uimara wa kutazama hadhira

Ana mzigo mzito moyoni
Kachoka
Kazeeka
Hajiamini
Anaugua hata kama haumwi
Amejawa na hamaniko
Ana wasiwasi
Hana amani

Hajioni kama ni yeye yule
Hajisikii wepesi wa ukuu bali uzito na fukuto la kukataliwq😭

Hizi sio hali za kumcheka wala kumdhihaki. Zinatupata sote maishami japo si kwa ukubwq wake
Naamini angetamani arudishe muda nyuma.. Judy Boucher aliimba.. If i can turn back the time..!
Wengi tunakutana na hizi hali kutamani kurudisha wakati nyuma.. Lakini dunia haina kinyume na wakati hauna rivasi

Ulishaharibu kubali kuishi na maumivu ama kubali kutubu na kusimama tena.. Ukijitia kigego na banditu 2026 inakusubiri izidi kukunyoosha na kukutafuna mpaka ikumalize
Kiburi si maungwana.. Happy new year 2026!View attachment 3523313
Chuma hiki! Mama anajinyea tu!
 
Wewe panda na kusifia maiti sifa asizokuwa nazo ila siyo mwaka huu tena! Jikatae chawa uhangaike na kilimo na Mimi mlaji nasisubiri hizo karanga huku mtukula nizitafune.
Poa, zitafika tu kwani tunasaka Hela popote zilipo. Mi hata wewe ukionewa humu nakutetea fasta, ndo hulka yangu.
 
Oooh! ndo maana Kila Uzi wake unapitishwa, wanalikosesha heshima jukwaa letu
Nyie mapimbi machawa ya kijani mnafanya nini humu JF?

Mnafunga mtandao wa JF halafu mnakuja kujichekesha chekesha humu mapimbi nyie!
 
Nyie mapimbi machawa ya kijani mnafanya nini humu JF?

Mnafunga mtandao wa JF halafu mnakuja kujikesha chekesha humu mapimbi nyie!
Wameanza umbea😀😀😀
FB_IMG_1767280268205.jpg
 
Back
Top Bottom