ipyax
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 4,247
- 6,578
Mimi ni msafiri wa mara kwa mara especially kwenye hizi nchi za kusini mwa Africa, katika hizi safari nimekuwa nikipanda basi za makampuni tofauti kama mchina (yutong, zhong tong, higer),marcopolo, Dar coach na master za Kenya.
Bus zote hizo zina sifa tofauti lakini sijawahi wahi kuwa impressed sana kwa sababu nyingi tu kama seat comfortability, wind noise, uimara wa body ikipita kwenye bumps, pot holes unaona dari zima na carrier za ndani zina cheza.
Juzi hapa nilipanda bus la intercape to south Africa ambayo ni Irizar i6 ikiwa kwenye chassis ya Volvo, ile body sio ya kawaida kabisa na mchina bado sana mpaka kuja kufika level zile.
Heshima kwao spain kwa basi hizi, seat zake zina mikanda kama ya gari ndogo, space ya kutosha, choo cha ku flush, ac juu chini heater ,basi lipo kimya husikii kelele za engine wala upepo. My mind was blown away na nilipokuja panda zhong tong bongo nilikua kama nipo msibani.
Sent using Jamii Forums mobile app