Hatari hii kitu sema uoga labda kwa wamiliki wa Mabasi ila hii ukileta Dar to Arusha hata kwa bei utauotaka watu watapanda hakuna MTU anayependa shida akati pesa ipo mfukoni.Mleta uzi siku ukipanda marcopolo G7 paradiso 1200 si utahisi upo ikulu ya south unasubiri kuonana na zuma.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Iphone 7+