Body za Irizar i6 ni moto wa kuotea mbali

Mtoa mada haujafanya research kabsa Hivi unadhan wachina hawana mabus mazuri zaidi ya hilo high quality Ebu katembelee Beijing kidg utajua kwamba hapa umeropoka pumba

sent from my Nokia kidole juu (mshindi) using jamiiforums Mobile app
 
Dar express atazileta soon just wait.....ila nimeshangaa chasis ya Volvo duuuh.....

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
Umeshangaa nini sasa!?, wakati Tanzania zipo chasis mpaka za Tata!!???, Marcopolo ni kampuni ya kutengeneza body kama Dar Coach, Quality Coach etc
 
Hayo mavi yanaelekea wapi ukiyaflash?... Yanamwagika wenye lami au kuna tank linayahifadhi hadi mwisho WA safari?. Km kuna tank la kuyahifadhi litaweza kuyahifadhi Kama gari zima watashikwa na tumbo la kuhara?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kama upon Jozi nenda Jordan bus ukaone hiyo iriza Iq 10 no kampuni ya Wazambia route take no Lusaka to Jozi nadhani hill 10 hatari kuliko yote...linajaa wiki Moja kabla kutokea Lusaka hill i6 ya kawaida tuu kwa kusini...
Route ya Lusaka juldan anatumia marcopolo G7 mkuu nayo ni moto wa kuotea mbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada haujafanya research kabsa Hivi unadhan wachina hawana mabus mazuri zaidi ya hilo high quality Ebu katembelee Beijing kidg utajua kwamba hapa umeropoka pumba

sent from my Nokia kidole juu (mshindi) using jamiiforums Mobile app
Mkuu sijafika Beijing lakini kwa basi nilizo ziona kwenye mazingira yetu sijawa impressed na basi za mchina. Zinaweza kua nzuri lakini build quality kimeo, parts zinaharibika, vunjika au kuchakaa haraka, engine nazo zinachoka mapema.

Kama umeona mashine za ukweli huko basi tupia hapa tuone, tuko hapa kuelimishana tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…