G Giltami JF-Expert Member Joined Feb 23, 2017 Posts 1,038 Reaction score 1,623 Aug 25, 2017 #41 kamanda mbigi said: Mleta uzi siku ukipanda marcopolo G7 paradiso 1200 si utahisi upo ikulu ya south unasubiri kuonana na zuma. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hatari hii kitu sema uoga labda kwa wamiliki wa Mabasi ila hii ukileta Dar to Arusha hata kwa bei utauotaka watu watapanda hakuna MTU anayependa shida akati pesa ipo mfukoni. Sent using Iphone 7+
kamanda mbigi said: Mleta uzi siku ukipanda marcopolo G7 paradiso 1200 si utahisi upo ikulu ya south unasubiri kuonana na zuma. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hatari hii kitu sema uoga labda kwa wamiliki wa Mabasi ila hii ukileta Dar to Arusha hata kwa bei utauotaka watu watapanda hakuna MTU anayependa shida akati pesa ipo mfukoni. Sent using Iphone 7+