DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Alihudumu vita Afghanistan huyo. NI mwanajeahi mstaafu wa Marekani. Sheria ya Marekani mwanajeahi akitoka kwenye mission anaruhusiwa kuomba kuataafu...Huyo baunsa noma hata ukiwaza tu kumkimbilia Mess huyooo kashakurukia ,nje ya yote nahisi jamaa sio baunsa Mwarabu fighter huyo utakuta ana mafunzo makubwa sana ya kiusalama na kimedani na elimu ipo unaweza kuta lina masters yake ya uchumi hapo sio hawa mabaunsa wetu akihojiwa ooh mimi niliamua niache shule wenzangu wasome ,
Waaaapi bwanaa vilaza wakubwa nyie
Jamaa kazi anaifanya kweli kweli,yaan na anaipenda haswaAlihudumu vita Afghanistan huyo. NI mwanajeahi mstaafu wa Marekani. Sheria ya Marekani mwanajeahi akitoka kwenye mission anaruhusiwa kuomba kuataafu...
Acha utoto messi unamfananisha na mchezaji gani sasa messi anastaili ivyo tena mmoja hatoshiAnachofanya Messi na huyo bodyguard wake ni upuuzi tuu, ila mashabiki wake hawawezi kuelewa.
Tuseme wachezaji wote ndani ya uwanja waje na mabodyguard wao itakuwaje
Baba yake ni kutoka Morocco mama yake ni Mfaransa. Kwzaliwa CaliforniaJamaa kazi anaifanya kweli kweli,yaan na anaipenda haswa
Ila nazan atapata kazi zingine tena nzuri zaidi
Mbona mnapenda kujishusha Sana na kutukuza vya njeHuyo baunsa noma hata ukiwaza tu kumkimbilia Mess huyooo kashakurukia ,nje ya yote nahisi jamaa sio baunsa Mwarabu fighter huyo utakuta ana mafunzo makubwa sana ya kiusalama na kimedani na elimu ipo unaweza kuta lina masters yake ya uchumi hapo sio hawa mabaunsa wetu akihojiwa ooh mimi niliamua niache shule wenzangu wasome ,
Waaaapi bwanaa vilaza wakubwa nyie
Nenda ukaweka bodyguard wakeAcha utoto messi unamfananisha na mchezaji gani sasa messi anastaili ivyo tena mmoja hatoshi
Mshaala wa huyo bodyguard kwa mwezi unakula ww mwaka mzima chiefNenda ukaweka bodyguard wake
Kumbe ndo maana jina lake linaonekana la kiafrikaBaba yake ni kutoka Morocco mama yake ni Mfaransa. Kwzaliwa California
Haya jipandishe wewe kuwa huyo mwarabu fighter ni bora kuliko baunsa wa Mess uone hata akili yako ikikukataa,Mbona mnapenda kujishusha Sana na kutukuza vya nje
Wewe ni hamnazo,Haya jipandishe wewe kuwa huyo mwarabu fighter ni bora kuliko baunsa wa Mess uone hata akili yako ikikukataa,
Sikia uzalendo sio kuwa mnafki au kutetea hata yasiyokuwepo haya sifia bas Tanesco alafu ponda shirika la umeme la Uingereza huko kama ndio kujibrand,
Tunaweza tu kujipaisha ikiwa tuna muelekeo au tunaendana na hatua kubwa walizopiga wenzetu ,
Cha kuongezea kaangalie wasifu wa baunsa wa Mess na wa Mwarabu fighter
Shida uchawa wa ccm umewalibu sana siyo akili zaoHaya jipandishe wewe kuwa huyo mwarabu fighter ni bora kuliko baunsa wa Mess uone hata akili yako ikikukataa,
Sikia uzalendo sio kuwa mnafki au kutetea hata yasiyokuwepo haya sifia bas Tanesco alafu ponda shirika la umeme la Uingereza huko kama ndio kujibrand,
Tunaweza tu kujipaisha ikiwa tuna muelekeo au tunaendana na hatua kubwa walizopiga wenzetu ,
Cha kuongezea kaangalie wasifu wa baunsa wa Mess na wa Mwarabu fighter