Bodyguard wa Lionel Messi apigwa marufuku kuingia sehemu ya kuchezea

Bodyguard wa Lionel Messi apigwa marufuku kuingia sehemu ya kuchezea

Anachofanya Messi na huyo bodyguard wake ni upuuzi tuu, ila mashabiki wake hawawezi kuelewa.

Tuseme wachezaji wote ndani ya uwanja waje na mabodyguard wao itakuwaje
Messi ni best among the best.

Kwani kila mchezaji anakimbiliwa na mashabiki mpaka na wao wawe na mabaunsa uwanjani?

Messi ni haki yake kwakuwa mashabiki wanamkimbilia sasa mtu kama Harry Mcguire nani atadhubutu kumkimbilia? Messi ndo the most decorated player akiwa na mataji 46 Acha apewe ulinzi anaoustahili.
 
Back
Top Bottom