Wakamnunue CEO wa airbusAirbus kaliteka soko la dunia alishampiga gap Boeing kitambo sana. Boeing kwa sasa hasogezi pua kwa Airbus
Layoffs kila kona, uchumi mbaya
Lakini Airbus sio ya Russia wala Iran.Airbus kaliteka soko la dunia alishampiga gap Boeing kitambo sana. Boeing kwa sasa hasogezi pua kwa Airbus
Umesema China? Bro are u serious? China imeingia kwenye high tech just juzi tu hapa, Boeing ipo over 50 years
Lakini Airbus sio ya Russia wala Iran.
Mchina haanzagi 1 ana copy hadi pale ulipoishia halafu na yeye anaweka yake ,,,na ana advantage ya cheap labor na madini mengi pia anayo,,,,,unaweza ukavumbua kitu wewe ila yeye akaja kukupita kwa mauzo wewe ulievumbua, advantage yake kubwa ni gharama za uzalishaji, hio mishahara wanaolipwa wafanyakazi wa boeing hadi wanagoma ungekuta hiko kiwanda kipo china watu wangekua wanaendelea kupiga kazi bila hata manung'unikoUmesema China? Bro are u serious? China imeingia kwenye high tech just juzi tu hapa, Boeing ipo over 50 years
Did I under estimate China? No, not at all bro. This is what I said, China wameingia kwenye high tech recently; statement hiyo HAINA maana kwamba China hawawezi. As we speak China kwasasa ndio the world No 2 kwa uchumi bora duniani, tofauti yake na USA kwasasa sio kubwa kama ilivokua miaka ya nyuma, in fact kwasasa USA kampata mpinzani wa kweli kwenye uchumi. Zamani USA and his allies wakiiwekea vikwazo vya kiuchumi, hiyo nchi ina suffer hasa but not now; tazama mfano wa Iran, Iran for years wamewekewa vikwazo vya kiuchumi na USA, wao nao waligoma kutumia sarafu yao to date and wana excel kama kawaida, Russia ndio kwanza ime pick from where it was up to almost nafasi 12, nafasi ambayo hawakuwahi kuifikia; why all of this, kuna China, kuna mbadala.Unakumbuka kauli ya Elon Musk 2010 kwenye interview CNN alipoulizwa kuhusu future ya Chinese EVs alicheka halafu akasema: “Nobody will buy Chinese cars”
Miaka 14 baadaye China imeliteka soko la EVs na BYD imeipita Tesla kwenye global market share ni lini wameingia kwenge high tech?
Never underestimate competitors from China!
I know that but ndege zake hata kama itakua ni copy from overseas basi hawezi kuziita Boeing, ataweka jina lakeMchina haanzagi 1 ana copy hadi pale ulipoishia halafu na yeye anaweka yake ,,,na ana advantage ya cheap labor na madini mengi pia anayo,,,,,unaweza ukavumbua kitu wewe ila yeye akaja kukupita kwa mauzo wewe ulievumbua, advantage yake kubwa ni gharama za uzalishaji, hio mishahara wanaolipwa wafanyakazi wa boeing hadi wanagoma ungekuta hiko kiwanda kipo china watu wangekua wanaendelea kupiga kazi bila hata manung'uniko
Kikubwa kinachoangaliwa kwa sasa ni kwamba zinafanya kazi kama inavyotakiwa na usalama upo baas,,,,jina utajenga kutokea hapo wala haitaji kuzipa hizo ndege zake jina la Boeing,,,,,,kama aliecomment hapo juu sidhani miaka kadhaa nyuma watu walikua wanaijua BYD na sidhani kama kuna mtu alikua anawaza kua BYD itakuja kuwa tishio kwenye ev kuliko hata TeslaI know that but ndege zake hata kama itakua ni copy from overseas basi hawezi kuziita Boeing, ataweka jina lake
Sema kama mmebadiri topic; kama utakua umefatilia nilicho andika na mlicho quote from me, tusingefika hapa. You guys mnadhani mimi nadharau uwezo wa China? I don't and will never under estimate ChinaKikubwa kinachoangaliwa kwa sasa ni kwamba zinafanya kazi kama inavyotakiwa na usalama upo baas,,,,jina utajenga kutokea hapo wala haitaji kuzipa hizo ndege zake jina la Boeing,,,,,,kama aliecomment hapo juu sidhani miaka kadhaa nyuma watu walikua wanaijua BYD na sidhani kama kuna mtu alikua anawaza kua BYD itakuja kuwa tishio kwenye ev kuliko hata Tesla
Ndo hivyo kua miaka 50 kwenye game haijalishi chochote kwa dunia ya sasaSema kama mmebadiri topic; kama utakua umefatilia nilicho andika na mlicho quote from me, tusingefika hapa. You guys mnadhani mimi nadharau uwezo wa China? I don't and will never under estimate China
Huku ndo nilikua natarajia ungeelekea.... una funza kichwani na ukichanganya na ile minyoo yenu mnayosoma huko viambazani akili imeota kutu!! Seriously mchina ampiku Boeing? Hiyo Comac spare wanatoa wapi? Hopeless creature!Biashara ni ushindani, Boeing wamejifelisha wenyewe kwenye safety, ubora na innovation hata CEO amekiri
Hawajafanyiwa figisu kama Marekani wanavyoifanyia China
Ni wakati wa COMAC ya China kuchukua nafasi ya Boeing ishindane na Airbus
Una ambiwa usipende kampuni penda fani yako ndio haya sasaWanarudi nyumbani
Ona CEO alichowaambia:
"Tunajua maamuzi haya yatasababisha ugumu kwenu, familia zenu , na ninatamani kwa dhati tungeepuka kuyachukua, hata hivyo, ili tuokoe biashara yetu kwa siku zijazo tunahitaji kuchukua hatua kali."