Boeing imesitisha usambazaji wa Vifaa, matengenezo na usaidizi wa kiufundi kwa Mashirika ya Ndege ya Urusi

Boeing imesitisha usambazaji wa Vifaa, matengenezo na usaidizi wa kiufundi kwa Mashirika ya Ndege ya Urusi

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
1646214793937.png

URUSI: Kampuni ya kutengeneza Ndege ya Marekani ya Boeing (BA.N) imesema inasitisha usambazaji wa Vifaa, matengenezo na usaidizi wa kiufundi kwa Mashirika ya Ndege ya Urusi ikiwa ni sehemu ya vikwazo vilivyowekwa kutokana na uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine.

Marekani imesema itafuata Uamuzi wa Umoja wa Ulaya na Canada katika kupiga marufuku Safari za Ndege za Urusi katika Anga lake, hatua ambayo huenda ikazua kisasi cha Urusi.

===

March 2 (Reuters) -

U.S. airplane manufacturer Boeing (BA.N) said it was suspending parts, maintenance and technical support for Russian airlines as the effect of sanctions in the wake of Russia's invasion of Ukraine ripple across the global aviation industry.

The United States said it would follow the European Union and Canada in banning Russian flights from its airspace, in a move likely to trigger Russian retaliation.

Boeing's announcement late on Tuesday came as aircraft and engine manufacturers, lessors and maintenance, repair and overhaul (MRO) providers with Russian clients face various EU and U.S. bans, including on leasing planes, exporting new aircraft and providing parts.

There are also potential payment difficulties after some Russian banks were barred from the SWIFT international payments system.

The new sanctions isolate Russia's aviation sector in a similar way to Iran and North Korea but will have much larger consequences given the bigger size of the Russian market and its high dependence on Western suppliers in recent years.

Russia accounted for around 6% of global air traffic capacity in 2021, according to aviation consulting firm IBA, up from around 4% in 2019 due to the strong relative performance of its domestic market during the pandemic.

Domestic capacity last year was above pre-pandemic levels and Russian carriers were seen as more reliable performers on jet lease agreements at a time when many Southeast Asian airlines halted payments or returned planes due to financial troubles.

About 515 Russian jets with an estimated market value of about $10 billion are rented from foreign firms, according to analytics firm Cirium.
 
NATO wao wameshambulia nchi kibao mpk marais wakawaua tena mashambulizi ambayo wamejiamuliwa tu wenyewe lakini kushambuliwa Ukraine wamekuwa km ndio jambo geni
 
Kelele za chura
wakati wenzio huko wanateseka.Haya wapelekeeni ujuzi wenu muwape na anga warushe ndege zao basi,makelele hapa JF hayasaidii kuwapa unafuu wa vikwazo.Btw mbona China hasemi kitu wakati rafiki yake kipenzi akiwa matatizoni?
 
wakati wenzio huko wanateseka.Haya wapelekeeni ujuzi wenu muwape na anga warushe ndege zao basi,makelele hapa JF hayasaidii kuwapa unafuu wa vikwazo.Btw mbona China hasemi kitu wakati rafiki yake kipenzi akiwa matatizoni?
unateseka ukiwa wapi
 
NATO wao wameshambulia nchi kibao mpk marais wakawaua tena mashambulizi ambayo wamejiamuliwa tu wenyewe lakini kushambuliwa Ukraine wamekuwa km ndio jambo geni
Si na nyie nao mngewawekea tu vikwazo nani aliwazuia.

Vikwazo tayari vimeshaanza kuuma naona waziri wa mambo ya nje wa Russia tayari ameshindwa kusafiri kwenda nchi za nje na ruble imepoteza thamani kwa zaidi ya asilimia 30.
 
wakati wenzio huko wanateseka.Haya wapelekeeni ujuzi wenu muwape na anga warushe ndege zao basi,makelele hapa JF hayasaidii kuwapa unafuu wa vikwazo.Btw mbona China hasemi kitu wakati rafiki yake kipenzi akiwa matatizoni?

china ashasema yeye ataendelea kufanya biashara na urusi mkuu tatizo mbasikiliza habari zinazowavutia

mpka jana marekani imeendelea kuagiza mafuta kutoka urusi lita milion 170, mexco iran korea venezwela washasema wao hawatasitisha biashara na urusi

marekani wanawashawishi mataifa mengine kuiwekea vikwazo urusi huku yenyewe ikiendelea kufanya biashara[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] vita ya uchumi ni ngumu urusi washajua marekani inawaitaji kuliko wao wanavyo hiitaji
 
Wangese tu hao,
Mikwara miiingiiii,
Ingieni vitani oooh oooh vikwazo , tieni matakoni mwenu hivyo vikwazo
Wanaume wanadunda tu
 
Kampuni ya Ndege ya Boeing imetangaza kusitisha usambazaji wa vifaa, matengenezo na usaidizi wa kiufundi kwa mashirika ya ndege ya Urusi ikiwa ni sehemu ya vikwazo dhidi Urusi baada ya kuivamia Ukraine kijeshi.

"Mashambulizi yanavyoendelea, timu yetu inaelekeza nguvu katika kuangalia usalama," ilisema taarifa ya Msemaji wa Boeing kuhusu maamuzi hayo.

Tamko hilo la kampuni hiyo ya Marekani limekuja muda mfupi baada ya Boeing kuwa imesimamisha mchakato wa mafunzo katika Kambi ya Mafunzo ya Moscow na pia wamefunga kwa muda ofisi zao zilizopo Kyiv.


Source: Reuters



==============================================================

Boeing suspends parts, maintenance and support for Russian airlines


U.S. airplane manufacturer Boeing Co (BA.N) said on Tuesday it was suspending parts, maintenance and technical support for Russian airlines as well as major operations in Moscow after Russia's invasion of Ukraine.

The Boeing logo is seen on the world headquarters office building in Chicago April 26, 2006
"As the conflict continues, our teams are focused on ensuring the safety of our teammates in the region," a Boeing spokesperson said.

The announcement came a day after Boeing said it had paused operations at its Moscow Training Campus and temporarily closed its office in Kyiv.
 
NATO ndio kete yao ya mwisho kabisa kuweka vikwazo. Baada ya hapo watafanya nini!? Tumewachoka sasa na mbwembwe zao.
Wanapodhihirika USA ni wanafki kupindukia ni kwanini hadi dakika hii bado hawajafungia makampuni ya mafuta na gesi ya Russia kuendelea kufanya biashara EU na USA[emoji848][emoji1]
 
Ашмюсж ш
Юзеоупе пшсд
Ызь за ы ьщнмо
Внутри
Ювд
Вщыьу

Na zingine nyingi sawa mrusi wa buza
Wewe mzee umekunya kweli leo!? Maana naona unatoa ufyuzi.
 
Urusi anaunda ndege yeye mwenyewe. Kwahiyo Boeing watulize kalio lao.
Tumia akili japo kidogo mkuu!!kwani hizo ndege aina ya boeing zina milikiwa na serikali?inshu sio kuunda, je hayo mashirika yanayozitumia yatafanyaje kupata spea, na ufundi? Dunia nzima ndege zinazoongoza kwa safari za kibiashara ni boeing.
Hata kama anazo zitafanya biashara gani kwa kutumia anga la nani, wakati kwa ulaya kote zimepigwa marufuku, Na bahati nzuri kwa zamu hii ulaya yote wameungana na kumuamulia putin!!
 
Back
Top Bottom