Boeing kuliinua zaidi AirTanzania yatoa ndege kwa Fujo kwa AirTanzania

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
8,925
Reaction score
14,890
Boeing imeingia makubaliano maalum na serikali ya Tanzania katika sector ya anga kwa kuingia special offer agreement kwa kutengenezea AirTanzania ndege bila masharti ya kawaida ya company hiyo

Inajulikana kwamba huwezi kupata ndege mpaka ufanye prepayments of more than half of the total price of the particular aircraft hili ni kwa manufacturers wote wa aircrafts around the globe

Hali imekua tofauti kwa case ya Tanzania na Boeing ambapo Boeing wamepeleka offers zao kwa serikali ya Tanzania kwa kuiahidi kutengenezea ndege zake bila kulipa prepayments zozote na hiyo wameanza na hii Boeing 787-8 ya pili ambayo ipo under the construction now

Ni baada ya Boeing kuona promising huge market ya aviation Tanzania na revolution ya aviation sector hapa Tanzania kuanzia ujenzi wa Airports na Radars pamoja na move ya JPM

Vivaaa JPM
Vivaaa Tanzania
Vivaaa AirTanzania

 
Nimesoma mahali kukopesha ndege nyingine moja moja hahaha but that's none of my business.
Ndio hivyo Boeing ndio wametoa special offers kwa kutengenezea AirTanzania ndege kisha AirTanzania kulipa kwa installments tofauti na utaratibu wa prepayments

Ni kuanzia hii aircraft ya saba amapo watakua wakiipa AirTanzania Boeing mojamoja kila baada ya last order

Unatakiwa ujue tunachukua kwa Boeing direct sio broker kama KQ alafu hakuna interest rates yoyote kwenye hayo makubaliano
 

Kwa hivyo hamjanunua cash. Good, ni hayo tu kwa sasa.
 
Mimi nilidhani nyinyi ni wale wasee wa cash.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kulipa cash kupo pale pale, hapa ni kuondoa lile sharti la kutanguliza deposit ili kuwa na uhakika kama kweli mteja ataweza kulipia hiyo bidhaa, ila kama mteja wako unamuamini, hiyo deposit unaweza kuiondoa na ukawa na uhakika wa malipo yote wakati ndege imekamilika, Kenya haiwezi kuaminika kwa kiwango hiki kwa sababu serikali inaendeshwa kwa kukopa ovyo ovyo.
 
Ila kelele mnazotupigia humu kila siku ni kuwa mnanunua ndege cash huku Sisi tukichukua kwa mkopo. Sasa hizo instalments ndio cash ama?πŸ˜€πŸ˜€
 
Hivi wewe unajua maana ya instalments ama umeandika kitu huelewi?πŸ˜€πŸ˜€
 
Hebu wacheni huu ujinga eti special offer. Kununua sio tatizo,
Kuzalisha faida ndio shughuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…