Boeing kuliinua zaidi AirTanzania yatoa ndege kwa Fujo kwa AirTanzania

Boeing kuliinua zaidi AirTanzania yatoa ndege kwa Fujo kwa AirTanzania

Wanadhani serikali itakua ikitoa pesa kila mara kununulia shirika ndege. After ndege za Kwanza serikali itataka kuona faida which will not happen. Finally ATCL itarudi pale pale juu ya mawe.

View attachment 764272
dua la kuku halimpati mwewe hehehe chuki zako hapa zimedunda kilaza wewe😀😀😀😀😀
engineer wa google🙄🙄🙄🙄🙄
 
huyo achana nae anawivu sana huyo kilaza anajitia mjuaji sana😀😀😀😀😀
Hawa watu hawajui aircraft purchasing process

Ndege kubwa kama Boeing inachukua mpaka mwaka mmoja kukamilika kutokana na order nyingine za clients wao

Sasa badala ya serikali kulipa billion 300 kisha ikae mwaka ndio ipate product

Boeing wamesema watatengeneza ndege ikikamilika ndio serikali itailipia so hapo kibiashara ni great decision sababu pesa inatakiwa izunguke na serikali itaweza kukusanya pesa taratibu badala ya kulipa huge amount of money on the spot
 
Deni pekee ndo hulipwa in installments, Ndege ni ya deni kubali matokeo.
kanunua ndege 6 cash na zote zishalipiwa sasa ya saba boeing wenyewe wametoa offer kwa serekali we kinachokuuma ni offer au nini sijakuelewa???😀😀😀😀😀😀😀
 
fantastic point hehehe wanadhani hio offer watapewa wao watu wenyewe wanakopa loan kulipa loan ndio economy yao ilipofika😀😀😀😀😀😀 kuna mchumi wao mmoja alisema wakamuona kilaza aliwaambia kenya inakopa sana for consumption and not developments😛😛😛😛😛
Huyo ni Dr. David Ndii, huyu jamaa ni mchumi mzuri sana I wish Tanzania ingepata mtu kama huyu, ni matumaini yangu kwamba JPM angemuingiza serikalini pamoja na kwamba yupo chama pinzani. Tatizo la hawa wakenya, wanatanguliza siasa mbele na mambo ya uchumi wanayaweka nyuma, hii ni kutokana na kwamba, ukabila ndio unaoelekeza siaza za Kenya.
 
Ndege tunanunua cash but with changed option badala ya prepayment ni post payment
Anything to deal with installments hio ni deni. Mbona mnaskia ugumu kukubali hehehe stop sugar coating sijui post payment na pre payment.
 
Deni pekee ndo hulipwa in installments, Ndege ni ya deni kubali matokeo.
Jamaa huwa tu ako ako. Hajielewi, haelewi kinachojadiliwa lakini anataka akue main contributor. Yaani sisi tunaongelea vile mwishowe wamechukua ndege kwa deni na yeye anatuambia eti sii bure. Ujinga hauna tiba.😀😀
 
Hawa watu hawajui aircraft purchasing process

Ndege kubwa kama Boeing inachukua mpaka mwaka mmoja kukamilika kutokana na order nyingine za clients wao

Sasa badala ya serikali kulipa billion 300 kisha ikae mwaka ndio ipate product

Boeing wamesema watatengeneza ndege ikikamilika ndio serikali itailipia so hapo kibiashara ni great decision sababu pesa inatakiwa izunguke na serikali itaweza kukusanya pesa taratibu badala ya kulipa huge amount of money on the spot
yani mtu hajui maana ya installments hehe alaf anajiita engineer heheh😀😀😀😀😀 yani kinachowauma ni serekali kupewa offer na boeing...ila magu kiboko aisee anawauliza usiku na mchana😛😛😛😛
 
kanunua ndege 6 cash na zote zishalipiwa sasa ya saba boeing wenyewe wametoa offer kwa serekali we kinachokuuma ni offer au nini sijakuelewa???😀😀😀😀😀😀😀
Boeing zote hizo ni deni, boeing sio tuktuk msee.
 
Hili shirika si linajiendesha kwa hasara sasa wanazidi kununua ili iweje maana sielewi na mnashangilia daaaaah
 
Jamaa huwa tu ako ako. Hajielewi, haelewi kinachojadiliwa lakini anataka akue main contributor. Yaani sisi tunaongelea vile mwishowe wamechukua ndege kwa deni na yeye anatuambia eti sii bure. Ujinga hauna tiba.😀😀
baada tya kununua ndege 6 cash kapewa offer we unaumizwa na offer??hehehe sasa tuoneshe wapi kq imenunua ndege moja tu cash ukileta hapa nazaa na wewe😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Siku moja wanasema wana pesa ya kununua ndege cash, next day wanajichocha vile Rais wao amebembeleza Boeing awape ndege kwa deni hadi unashindwa - vipi mtu mwenye pesa aombe kukopeshwa?😀
 
yani mtu hajui maana ya installments hehe alaf anajiita engineer heheh😀😀😀😀😀 yani kinachowauma ni serekali kupewa offer na boeing...ila magu kiboko aisee anawauliza usiku na mchana😛😛😛😛
Ni vizuri sometimes kuficha ujinga..Eti Mtu tena engineer anafikiria kununua ndege nikama kununua soda kwa duka. Anataka JPM aende Boeing na cash, mwenye duka atafute ndege kwa store yake, aipanguze panguze amkabidhi 😀
 
Anything to deal with installments hio ni deni. Mbona mnaskia ugumu kukubali hehehe stop sugar coating sijui post payment na pre payment.
Aircraft purchase should be cleared while in the making sio biashara ya dagaa, you know nothing

Paying while delivery is not common transaction in aircraft purchasing that's why we call it special offer and that's what JPM got from Boeing
 
Wadanganyika bhana! Kila unacholishwa unameza tu bila kutafuna! Utakufa kwa kipindupindu kijana!!! Hilo nalo jamvi la wageni ni source ya habari kweli au unaumwa kipindupindu tayari mzee!
 
Boeing imeingia makubaliano maalum na serikali ya Tanzania katika sector ya anga kwa kuingia special offer agreement kwa kutengenezea AirTanzania ndege bila masharti ya kawaida ya company hiyo

Inajulikana kwamba huwezi kupata ndege mpaka ufanye prepayments of more than half of the total price of the particular aircraft hili ni kwa manufacturers wote wa aircrafts around the globe

Hali imekua tofauti kwa case ya Tanzania na Boeing ambapo Boeing wamepeleka offers zao kwa serikali ya Tanzania kwa kuiahidi kutengenezea ndege zake bila kulipa prepayments zozote na hiyo wameanza na hii Boeing 787-8 ya pili ambayo ipo under the construction now

Ni baada ya Boeing kuona promising huge market ya aviation Tanzania na revolution ya aviation sector hapa Tanzania kuanzia ujenzi wa Airports na Radars pamoja na move ya JPM

Vivaaa JPM
Vivaaa Tanzania
Vivaaa AirTanzania

View attachment 764258
Hapa ndo unaelewa kua serikali ya Jiwe ni ya ajabu, sijui lengo lake nini?
Waziri anayehusika alisema serikali haiwezi kukodi ndege kwa vile ni gharama kubwa. Saizi Boeing kuikopesha Air Tanzania inakua ni habri tena ya kusifia. Sasa unajiuliza ipi ni kauli ya serikali?
 
NGEGE ndo kitu gn......yn gaazeti linapita kwenye macho ya mwandishi......linakuja kwa editor...mpka mhariri wa gazeti ndo linakuja sis tulisome likiwa hivo!!??
Ukiona hivyo ujue mwandishi, mhariri na mchapishaji ni huyohuyo mtu mmoja.... anaitwa Cyprian Musiba
 
Back
Top Bottom