ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 79,360
- 154,913
hehhee siwez kukusaidia juu ya kilio😀😀😀Boeing zote hizo ni deni, boeing sio tuktuk msee.
Tanzania Purchase Boeing Aircraft - TanzaniaInvest
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hehhee siwez kukusaidia juu ya kilio😀😀😀Boeing zote hizo ni deni, boeing sio tuktuk msee.
Hahahaha, watu hawajielewi kabisa.😀Hapa ndo unaelewa kua serikali ya Jiwe ni ya ajabu, sijui lengo lake nini?
Waziri anayehusika alisema serikali haiwezi kukodi ndege kwa vile ni gharama kubwa. Saizi Boeing kuikopesha Air Tanzania inakua ni habri tena ya kusifia. Sasa unajiuliza ipi ni kauli ya serikali?
Hahahahahahahahahahahahahaha nenda kunya kwanza kwenye mifuko ya plasti, hivi hata mchana pia mnakunya ndani au?, kama hakuna vyoo kabisa, mchana huwa mnakunya wapi?Mnalipa in instalments na hiyo unaita cash? Hivi unajua maana ya instalments wee bongolala?
Acha kutuadaa lete huo ushahidi wa haya mapendekezo tuyaone kama kweli hakuna riba.Ndio hivyo Boeing ndio wametoa special offers kwa kutengenezea AirTanzania ndege kisha AirTanzania kulipa kwa installments tofauti na utaratibu wa prepayments
Ni kuanzia hii aircraft ya saba amapo watakua wakiipa AirTanzania Boeing mojamoja kila baada ya last order
Unatakiwa ujue tunachukua kwa Boeing direct sio broker kama KQ alafu hakuna interest rates yoyote kwenye hayo makubaliano
wanaumia kwanini magu anaweza kufanya maajabu😀😀😀😀😀😀 wwao hawana historia ya kununua ndege cash sasa magu anawaumiza sana kichwaNi vizuri sometimes kuficha ujinga..Eti Mtu tena engineer anafikiria kununua ndege nikama kununua soda kwa duka. Anataka JPM aende Boeing na cash, mwenye duka atafute ndege kwa store yake, aipanguze panguze amkabidhi 😀
wapi wameandika riba??? na wapi wameandika mkopo?? vp kichwani kuna matope naonaAcha kutuadaa lete huo ushahidi wa haya mapendekezo tuyaone kama kweli hakuna riba.
Haiwezekani Boeing ikakopesha ndege bila riba .
Ndege zinatusaidia nini sasa
yani anasema munalipa installments munaita cash hahah huyo kasoma nn??? inamaana installment sio cash ni mandazi😀😀😀😀😀😀😀MUNGU wasaidie wakenya wanahali mbaya sanaHahahahahahahahahahahahahaha nenda kunya kwanza kwenye mifuko ya plasti, hivi hata mchana pia mnakunya ndani au?, kama hakuna vyoo kabisa, mchana huwa mnakunya wapi?
Yani ndege ni kwa ajili ya kundi la watu wachache. Nashangaa wanavyozipa priorities wakati kundi la watu wengi lina hali mbayaSijui masikini yupi atapanda
wafanye kazi kwa bidiii waache maneno mengi alaf uone kama hawtapandaSijui masikini yupi atapanda
fanya kazi uache kwenda kupoteza pesa saloon kila siku alaf uone kama hutapanda😀😀😀😀😀Yani ndege ni kwa ajili ya kundi la watu wachache. Nashangaa wanavyozipa priorities wakati kundi la watu wengi lina hali mbaya
manufaa yapo kwa kukuza utalii na kukuza aviation industryHiyo ni biashara.. kama mmeweza kulipa cash ndege moja ambayo mngetakiwa kulipa half the price then the second half mlipe kidogo kidogo kwanini full payment yenu wasiwatengenezee ndege nyingine na wao wapige pesa..
It's business hakuna jipya, though it's good to have two dreamliners or more ili na sisi sasa tuanze kuonekana na zitunufaishe
We ndo jitathmini mana umekimbilia kusema bila kufuatilia post niliyo quote.wapi wameandika riba??? na wapi wameandika mkopo?? vp kichwani kuna matope naona
Yaani serikali inanunulia shirika ndege - Tena kwa mkopo.😀😀 Magu anawatafuna wazima wazima😀😀😀Yani ndege ni kwa ajili ya kundi la watu wachache. Nashangaa wanavyozipa priorities wakati kundi la watu wengi lina hali mbaya
Jamii forum,Facebook na WhatsApp vinatusaidia nnNdege zinatusaidia nini sasa
nioneshe wapi wameandika neno loan na interest maana usiwe unaandika jambo huna ujuzi naloWe ndo jitathmini mana umekimbilia kusema bila kufuatilia post niliyo quote.
Bora mkoloni arudi tu. Kumbe kuna baadhi ya watanzania hawana uhuru kichwaniJamii forum,Facebook na WhatsApp vinatusaidia nn