Boeing kuliinua zaidi AirTanzania yatoa ndege kwa Fujo kwa AirTanzania

Boeing kuliinua zaidi AirTanzania yatoa ndege kwa Fujo kwa AirTanzania

Hapa ndo unaelewa kua serikali ya Jiwe ni ya ajabu, sijui lengo lake nini?
Waziri anayehusika alisema serikali haiwezi kukodi ndege kwa vile ni gharama kubwa. Saizi Boeing kuikopesha Air Tanzania inakua ni habri tena ya kusifia. Sasa unajiuliza ipi ni kauli ya serikali?
Hahahaha, watu hawajielewi kabisa.😀
 
Mnalipa in instalments na hiyo unaita cash? Hivi unajua maana ya instalments wee bongolala?
Hahahahahahahahahahahahahaha nenda kunya kwanza kwenye mifuko ya plasti, hivi hata mchana pia mnakunya ndani au?, kama hakuna vyoo kabisa, mchana huwa mnakunya wapi?
 
Ndio hivyo Boeing ndio wametoa special offers kwa kutengenezea AirTanzania ndege kisha AirTanzania kulipa kwa installments tofauti na utaratibu wa prepayments

Ni kuanzia hii aircraft ya saba amapo watakua wakiipa AirTanzania Boeing mojamoja kila baada ya last order

Unatakiwa ujue tunachukua kwa Boeing direct sio broker kama KQ alafu hakuna interest rates yoyote kwenye hayo makubaliano
Acha kutuadaa lete huo ushahidi wa haya mapendekezo tuyaone kama kweli hakuna riba.
Haiwezekani Boeing ikakopesha ndege bila riba .
 
Hiyo ni biashara.. kama mmeweza kulipa cash ndege moja ambayo mngetakiwa kulipa half the price then the second half mlipe kidogo kidogo kwanini full payment yenu wasiwatengenezee ndege nyingine na wao wapige pesa..

It's business hakuna jipya, though it's good to have two dreamliners or more ili na sisi sasa tuanze kuonekana na zitunufaishe
 
Ni vizuri sometimes kuficha ujinga..Eti Mtu tena engineer anafikiria kununua ndege nikama kununua soda kwa duka. Anataka JPM aende Boeing na cash, mwenye duka atafute ndege kwa store yake, aipanguze panguze amkabidhi 😀
wanaumia kwanini magu anaweza kufanya maajabu😀😀😀😀😀😀 wwao hawana historia ya kununua ndege cash sasa magu anawaumiza sana kichwa
 
Hapa Boeing anacheza kibiashara na makampuni mengine wapinzani wake kibiashara kwa kuwapa mazingira magumu kuuza tena ndege Tanzania kwa sababu kashaonekana ni potential client. Kwa hiyo bombadier na wenzake wajipange tena kushindana Boeing kibiashara . Wenzetu wako smart sana wanapoona fursa
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Acha kutuadaa lete huo ushahidi wa haya mapendekezo tuyaone kama kweli hakuna riba.
Haiwezekani Boeing ikakopesha ndege bila riba .
wapi wameandika riba??? na wapi wameandika mkopo?? vp kichwani kuna matope naona
 
Hahahahahahahahahahahahahaha nenda kunya kwanza kwenye mifuko ya plasti, hivi hata mchana pia mnakunya ndani au?, kama hakuna vyoo kabisa, mchana huwa mnakunya wapi?
yani anasema munalipa installments munaita cash hahah huyo kasoma nn??? inamaana installment sio cash ni mandazi😀😀😀😀😀😀😀MUNGU wasaidie wakenya wanahali mbaya sana
 
Yani ndege ni kwa ajili ya kundi la watu wachache. Nashangaa wanavyozipa priorities wakati kundi la watu wengi lina hali mbaya
fanya kazi uache kwenda kupoteza pesa saloon kila siku alaf uone kama hutapanda😀😀😀😀😀
 
Hiyo ni biashara.. kama mmeweza kulipa cash ndege moja ambayo mngetakiwa kulipa half the price then the second half mlipe kidogo kidogo kwanini full payment yenu wasiwatengenezee ndege nyingine na wao wapige pesa..

It's business hakuna jipya, though it's good to have two dreamliners or more ili na sisi sasa tuanze kuonekana na zitunufaishe
manufaa yapo kwa kukuza utalii na kukuza aviation industry
 
Yani ndege ni kwa ajili ya kundi la watu wachache. Nashangaa wanavyozipa priorities wakati kundi la watu wengi lina hali mbaya
Yaani serikali inanunulia shirika ndege - Tena kwa mkopo.😀😀 Magu anawatafuna wazima wazima😀😀😀
 
We ndo jitathmini mana umekimbilia kusema bila kufuatilia post niliyo quote.
nioneshe wapi wameandika neno loan na interest maana usiwe unaandika jambo huna ujuzi nalo
 
hii ni Terible teen inakuja kwa style tofauti
 
Back
Top Bottom