Boeing kuliinua zaidi AirTanzania yatoa ndege kwa Fujo kwa AirTanzania

Siwez kuufanyia kazi sababu popote napotaka kucomment nitacomment [emoji4][emoji4][emoji4]
Ila kunasehemu nyingine unakuwa unajidhalilisha aiseeeh!, weee kunako kufa ni kule kwenye maswala ya misambwanda !
 
Ila kunasehemu nyingine unakuwa unajidhalilisha aiseeeh!, were kunako kufa ni kule kwenye maswala ya misambwanda !
Kumbe unanifatilia mpaka unajua wapi nimepita. Nchi huru hii popote nitakojisikia nacomment vizuri tu labda mods wanizuie.
Kujidhalilisha huko na maandishi vipi. Hahaaaaa
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Kwabahati mbaya sinaga muda wakufuatilia watu wenye low IQs!
 
Habari yenyewe imetolewa na Jamvi la Habari! haya magazeti mengine hayafai hata kufungia vitumbua!!
 
Ungekua hunifatilii usingekua jukwaa lipi lanihusu. Dada hongera kwa kua na IQ kubwa. Mimi yangu yanitosha kabisaaaa
Asante Kwa Ku appreciate IQ yangu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Comment yako ya kwanza humu imenifanya nijue wewe ni MTU wa aina gani na wapi mahala sahihi kwako,sinaga muda wa kufuatilia profile za low IQs,watu wenye mawazo yenye tija ndio huwa napata muda wa kucheck profile zao ,wengine subirini kwanza nitawafikiria baadae nikipata muda !
 
Muda unao tena mwingi sana ungeukosa usingehangaika na mimi kufatilia mpaka comment yangu ya kwanza. Kila kitu IQ IQ weka hapa IQ yako nione sio maneno mengi tu.
Umesumbuka mpaka kujua kua nashinda MMU halafu mara hii useme hujanifatilia. Hongera kwa kua na kazi nzuri ya kufatilia watu japo mshahara sijui anakulipa nani.
 
Aiseeeeeeeeeeh! Relax mbona unaanza kupanick ,hili jukwaa huwa hatulii lii namna hii hata kama ukiambiwa ukweli unatulia
Anyway uwe na wakati mwema kwaheri!
 
Hi! mr hydrogen nimekusoma ila si unajua mimi sijazaliwa nacho? if you can do correct me where did I mistaken please, or b'cause I'm not to your side? correct it
 
Back
Top Bottom