evart
JF-Expert Member
- Sep 4, 2016
- 2,838
- 2,772
Dada rudi MMU ukalalwe aiseeeh! Hakuna namna huku umepotea njiaHeheeee kweli tubaki tu na hizi IDs feki coz usilolijua ni sawa na usiku wa giza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada rudi MMU ukalalwe aiseeeh! Hakuna namna huku umepotea njiaHeheeee kweli tubaki tu na hizi IDs feki coz usilolijua ni sawa na usiku wa giza
acha hasira basi😀😀😀😀😀Are you for real and serious with this? Seems you were a familiar stranger in some makeshift school!
Mungu akubariki kadri ya matamshi yako DADA yangu.Dada rudi MMU ukalalwe aiseeeh! hukana namna huku umepotea njia
Umefanya vyema ,maana naona unatuwekea upupu hapa!Mungu akubariki kadri ya matamshi yako DADA yangu.
Pambana na hali yako dada. Upupu nitaweka huwezi nizuiaUmefanya vyema ,maana naona unatuwekea upupu hapa!
Duuh! Mbona unaanza kuwaka tena?Pambana na hali yako dada. Upupu nitaweka huwezi nizuia
Sijawaka nakwambia tu.Duuh! Mbona unaanza kuwaka tena?
Lakini ushauri wangu usisite kuufanyia kaziSijawaka nakwambia tu.
Siwez kuufanyia kazi sababu popote napotaka kucomment nitacomment [emoji4][emoji4][emoji4]Lakini ushauri wangu usisite kuufanyia kazi
Ila kunasehemu nyingine unakuwa unajidhalilisha aiseeeh!, weee kunako kufa ni kule kwenye maswala ya misambwanda !Siwez kuufanyia kazi sababu popote napotaka kucomment nitacomment [emoji4][emoji4][emoji4]
Kumbe unanifatilia mpaka unajua wapi nimepita. Nchi huru hii popote nitakojisikia nacomment vizuri tu labda mods wanizuie.Ila kunasehemu nyingine unakuwa unajidhalilisha aiseeeh!, were kunako kufa ni kule kwenye maswala ya misambwanda !
Kwabahati mbaya sinaga muda wakufuatilia watu wenye low IQs!Kumbe unanifatilia mpaka unajua wapi nimepita. Nchi huru hii popote nitakojisikia nacomment vizuri tu labda mods wanizuie.
Kujidhalilisha huko na maandishi vipi. Hahaaaaa
Ungekua hunifatilii usingekua jukwaa lipi lanihusu. Dada hongera kwa kua na IQ kubwa. Mimi yangu yanitosha kabisaaaaKwabahati mbaya sinaga muda wakufuatilia watu wenye low IQs!
Asante Kwa Ku appreciate IQ yangu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Ungekua hunifatilii usingekua jukwaa lipi lanihusu. Dada hongera kwa kua na IQ kubwa. Mimi yangu yanitosha kabisaaaa
Muda unao tena mwingi sana ungeukosa usingehangaika na mimi kufatilia mpaka comment yangu ya kwanza. Kila kitu IQ IQ weka hapa IQ yako nione sio maneno mengi tu.Asante Kwa Ku appreciate IQ yangu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Comment yako ya kwanza humu imenifanya nijue wewe ni MTU wa aina gani na wapi mahala sahihi kwako,sinaga muda wa kufuatilia profile za low IQs,watu wenye mawazo yenye tija ndio huwa napata muda wa kucheck profile zao ,wengine subirini kwanza nitawafikiria baadae nikipata muda !
Aiseeeeeeeeeeh! Relax mbona unaanza kupanick ,hili jukwaa huwa hatulii lii namna hii hata kama ukiambiwa ukweli unatuliaMuda unao tena mwingi sana ungeukosa usingehangaika na mimi kufatilia mpaka comment yangu ya kwanza. Kila kitu IQ IQ weka hapa IQ yako nione sio maneno mengi tu.
Umesumbuka mpaka kujua kua nashinda MMU halafu mara hii useme hujanifatilia. Hongera kwa kua na kazi nzuri ya kufatilia watu japo mshahara sijui anakulipa nani.