Boeing kuliinua zaidi AirTanzania yatoa ndege kwa Fujo kwa AirTanzania

Achana na huyo zero brain kila kitu wamezoea kipinga IQ yake bado ndogo sana
 
Hivi vipaumbele vya huyu rais in vipi?
Huu ni wakati wa kununua ndege kweli??

Kwann hayo mabilioni ya ndege asipeleke kwenye kilimo cha umwagiliaji production iongezeke tupunguze inflation,
tupunguze impotation ya bidhaa kutoka nje, tulishe viwanda vyetu na vijana wapate ajira?

Rais wa wanyonge bhana!!
 
Down payment waived. JPM is a super negotiator

Na anayafanya yote haya ndani ya upinzani mkali wa kila siku. Angekuwa hapigiwi kelele kelele tungekuwa tumefika mbali. Kelele anazopata JPM ni kama zile anazopata Trump ingawa zote zina maudhui tofauti. Akifanya hiki kelele, akisema hiki kakosea, akinyamaza kimya: "ooh yamemshinda". Pamoja na hayo yote yumo tu. Pongezi kama ulizotoa zinakejiliwa kweli. Tanzania Mungu atupe kiongozi gani?
 
Hahahahahahahah dah! Nimekwambia pole kwa kuukimbia umande. Huna uwezo wa kujenga hoja. Ujuha wako mwisho mtaa wa Lumumba kwa majuha wenzako humu tutakuchapa za uso tu tena kavu kavu taahira mkubwa wewe. Baada ya kukushindilia za uso nikikuwekea na facts za uhakika sasa umebaki kufanya viroja tu humu. Kawachungulie Babaako na mamaako maana naona ndiyo tabia za watoto wa kikopo mlaanifu mkubwa. Na kama baba yako alikufundisha ushoga basi usidhani kila mtu ni shoga. Mburula wewe!!! UPUMBAVU NI MZIGO MKUBWA SANA DUNIANI. Hapo ndiyo akili yako ilipoishia MBURULA MKUBWA WEWE.

Huyo dhalimu si kiongozi ni mhalifu tu ambaye alistahili kuwa lupango kwa miaka mingi sana kwa wizi wake wa nyumba za Serikali, kwa ufisadi wake wa kununua kivuko uozo cha mwaka 1978 kwa bilioni 8, kwa udanganyifu wake bungeni kuhusu kupotea 227 bilioni pale ujenzi kwa kukurupuka kwake kila mara na kuliingizaa Taifa hasara kubwa sana. Kumbuka samaki wa magufuli na madudu mengine chungu nzima. Msitegemee nchi kuendelea kwa kuwaweka wahalifu madarakani badala yake ni kurudi nyuma miaka 60 kama alivyojisemea Jenerali Ulimwengu.



~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*

Habari hii ilichapishwa kwenye gazeti la RAI miaka michache iliyopita ikisomeka...

Huyu Ndiye Pombe Magufuli:

- Wasema nyumba 8,000 kauza kwa mkono wake mwenyewe
- Apuuza maonyo ya wataalamu- Mafaili ya Sundi na Musa aliyabeba kwapani

ALIYEKUWA Waziri wa Ujenzi, John Magufuli, katika Serikali ya awamu ya tatu, aliteka madaraka na kuwa mwenyekiti wa zoezi la kuuza nyumba za serikali ambazo hadi sasa, zimeshauzwa 8,288 imefahamika.

Habari zilizopatikana ndani ya wakala wa Majengo ya Serikali (TBA), zimethibitishia Rai wiki hii kwamba Magufuli alihakikisha anashiriki kama Mwenyekiti katika zoezi zima la kuuza nyumba, ambalo kimsingi lilistahili kusimamiwa na Mtendaji Mkuu wa TBA.

Kwa mujibu wa vyanzo kadhaa vya habari ndani ya TBA, Magufuli alifanya kila aina ya ‘fujo’ katika zoezi la kuuza nyumba hizo, wakati mwingine akibatilisha maamuzi yaliyofanywa na Kamati ya TBA ya kuuza nyumba hizo, akiwapangia watu nyumba kwa utashi wake na wakati mwingine akiwakemea wale wote waliomshauri kinyume na matakwa.

Ni chini ya utaratibu huo, habari zinaeleza kwamba Magufuli, aliyabeba yeye mwenyewe mafaili ya ndugu zake; Musa Magufuli ambaye ni mdogo wake, na Sundi Malomo ambaye ni mzazi mwenzake na kuwalazimisha watendaji wa TBA wafuate matakwa yake katika kuwapatia nyumba ndugu zake hao.

Habari hizo zinaeleza kwamba awali Mtendaji Mkuu wa TBA alimshauri Magufuli kwamba suala la mauzo ya nyumba kwa ndugu zake ni kinyume cha utaratibu. Hata hivyo, imeelezwa kwamba Magufuli alilazimisha huku akisema mdogo wake hana tatizo kwa sababu alikuwa tayari mfanyakazi wa Serikali.

Musa aliajiriwa kwa mkataba wa miezi mitatu, baada ya mwezi mmoja akauziwa nyumba na baada ya miezi miwili akaacha kazi.


“Kwa upande wa Sundi, kwanza ilikuwa Sundi auziwe nyumba moja kwa moja. Lakini Magufuli alipoonywa akashtuka na kusema suala hilo aachiwe yeye mwenyewe. Na ndipo akaibuka na jina la Stanley Manongi kwamba ndiye mnunuzi halisi na baba yake Sundi,” vinasema vyanzo hivyo vya habari, vingine ambavyo vilishiriki moja kwa moja katika mchakato wa uuzaji nyumba hizo.

Habari hizo zinaendelea kueleza kwamba baadaye, Sundi alishtuka akitilia shaka uaminifu wa Manongi, kwamba angeweza kumdhulumu nyumba hiyo.

“Ndipo Magufuli aliibuka na mpango wa Sundi kuwa mtoto wa Manongi na mrithi wake na kisha kwa kuhakikisha kwamba hakuna dhuluma yoyote, mtoto wa Sundi naye akarithishwa na kama mrithi wa pili,” chanzo hicho cha habari kinaeleza.


Chini ya sheria ya Executive Agency Act No. 30 ya mwaka 1997, TBA ilipewa madaraka yote ya kuuza nyumba za Serikali, kujenga nyumba mpya, kuzikarabati zilizopo pamoja na kugawa nyumba za madaraja A, B na C kwa wafanyakazi wa Serikali.

Sheria hiyo inaipa mamlaka ya kipekee ya kufanya shughuli zote bila kuingiliwa na chombo chochote.

Chini ya sheria hiyo, Waziri anaruhusiwa kuteua wajumbe wa bodi ya ushauri watakaomshauri Katibu Mkuu wa Wizara juu ya namna nzuri ya TBA kusimamia mamlaka yake.

Hadi Machi mwaka huu, wajumbe hao walikuwa ni J. Kijazi, E. Lipambila, E. Lugwisha, Msangi, E. Mwakalinga, D. Kisasi, P. Ncheye, F. Werema na A. Bukuku.

Hata hivyo, sheria haitoi nafasi yoyote kwa Waziri kusimamia shughuli za uuzwaji au upangaji wa nyumba za serikali.

Mtendaji Mkuu wa TBA Togolayi Makumba Kimweri, alipoulizwa kupitia kwa Katibu Muhtasi wake, alimwambia mwandishi wa Rai aandike maswali kisha asubiri kuruhusiwa kuingia ndani ya ofisi.

Hata hivyo, baada ya kusubiri kwa muda wa saa moja, mwandishi alipokwenda kuuliza akaambiwa kwamba Kimweri tayari alikwishaondoka ofisini kupitia mlango wa nyuma na asingeweza kurudi ofisini.

Lakini baadhi ya wafanyakazi wa TBA wameiambia Rai kwamba kinachoandikwa kwenye magazeti kuhusu ushiriki wa Magufuli kuuza nyumba za Serikali ni kidogo mno kuliko hali halisi.

Kama ilivyokuwa kwa mdogo wake Musa, waziri Magufuli alishinikiza mtoto wa dada yake anayeitwa James Doto Mgosha auziwe nyumba za serikali kwa kumtengenezea ajira ya muda mfupi katika TANROADS.

Tofauti na Musa, Doto ameuziwa nyumba hiyo kwa jina la mtu mwingine lakini anaishi katika nyumba hiyo, namba 64 iliyopo Kinondoni Flats.

Habari kutoka TBA zinaonyesha jina la mtu mwingine (tunalihifadhi) kuwa ndiye aliyeuziwa nyumba hiyo mtu huyo alipata kupitia utaratibu wa Magufuli kupeleka jina lake kwenye wakala wa majengo na kulazimisha apewe nyumba.

Alipoulizwa kwa njia ya simu, Doto alisema suala la ajira na nyumba waulizwe waliomwajiri na kumpa nyumba. Akakata simu.

Mfanyakazi mwingine alieleza Rai kwamba msichana mwingine (jina tunalihifadhi) akiwa na miezi minne tu kazini alipelekwa na Magufuli katika Wakala wa Majengo akilazimisha auziwe nyumba hata kabla ya kuthibitishwa kazini. Nyumba hiyo iko Block A, Ocean Road.

Hata hivyo, habari hizo zinaeleza kwamba msichana huyo ambaye hadi sasa anaishi na wazazi wake, ameipangisha nyumba hiyo kwa mfanyakazi mmoja wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa na analipwa kwa dola za kimarekani.

“Kuuza nyumba za serikali sawa, lakini kweli katika mtindo huu? Sisi tunaoshiriki kuzikagua na kuziratibu tukiomba hatupati, lakini wengine wanaingia serikalini miezi miwili wanapata nyumba. Na wengine hata si wafanyakazi, wanapata, hii si sahihi, alilalamika mfanyakazi mmoja aliyeandikia Rai kwa njia ya barua pepe.

Hadi Machi mwaka huu Wakala wa Majengo wa Serikali (TBA) walishauza nyumba 8,288 ambazo hata hivyo zilitakiwa kuuzwa kwa watumishi wa serikali.

Katika mauzo hayo, Serikali ilitarajia kupata jumla ya shilingi 60,016,556,439.00. Hata hivyo hadi sasa Serikali imepata shilingi 22,684,108,115.08.

Kwa sasa, Serikali imebakiwa na nyumba 1,098 zinazosimamiwa na TBA. Kati ya hizo, nyumba 692 zimetengwa kwa wafanyakazi wa Serikali, nyumba 675 kama tied quarters, nyumba 111 zinatumika kama Rest House za Serikali, wakati nyumba 40 zinatumika kama state lodges. Nyumba 24 zinatumika kama ofisi na nyingine 29 ni kama karakana na bohari.

SALVA RWEYEMAMU
RAI




Lete picha za baba yako na mama yako wakipeana vitu, shoga wewe.
 
Hahahahahahaha lol! MAZWAZWA hawa ni hasara kubwa sana kwa Taifa wanaokotwa okotwa mitaani na kulipwa buku 7 wakiwa hawajui lolote lile kuhusu Taifa letu linavyoangamia kwa wahalifu kujivisha ngozi ya uongozi. Hawa Wapumbavu ndiyo wanawavimbisha vichwa hawa wahalifu na misemo yao uchwara kama vile Mr clean na awamu yake ya UWAZI NA UKWELI kumbe ni mwizi na fisadi, akaja mwingine na Maisha bora kwa kila Mtanzania yanawezekana na ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya, tumejaribu tumeweza na sasa tunasonga mbele huyu naye ni mwizi na fisadi alituletea IPTL, Buzwagi, Richmond/Dowans, Escrow etc, huyu wa sasa yeye anachota moja kwa moja hazina bila woga tena trillions bila idhini ya Bunge. Juzi CAG kasema 1.5 trillions haijulikani ilipo lakini hajafanya juhudi yoyote ya kuunda tume kuchunguza kwa kina maana bila shaka anajua ataadhirika CAG pia kaandika madeni hewa ya billions yamelipwa lakini jamaa kauchuna hata hataki kufuatilia nani kalipwa madeni hewa na kwanini wamelipwa na wahusika wote wachukuliwe hatua za kisheria ikiwemo kufilisiwa mali zao. Bila shaka anajua nini kinachoendelea katika malipo hayo hewa ndiyo sababu KAYAPOTEZEA na kuunda TUME ya kuchunguza wapi zilipo 1.5 trillions kapotezea pia!!!!

Buda yaani kubishana uko zero mwenzako amekurarua raru rari!!!
 
Hii biashara ya ndege isiyo Na mpango wa biashara (business plan).Pia inaendeshwa na wale walioshindwa kwenye ATC iliyokufa,huku watanzania wenye uwezo wa kusafiri kwa ndege wakipungua.Bila kuwa na mipango hakuna jipya litakalopatikana.
 
Haya mambo mengine wala hatujifunzi, ndio maana tuna gesi lakini baada ya kutumia trillions zetu kujiandaa baadae tunagundua kuwa mikataba hiyo hiyo inatubana na gesi sio yetu tena na alternative rahisi ni Stiglers gorge!
 
Jamaa niliwaambia hawajui airline industry hawakuskia. Lazima huo ushamba wa kurukaruka kusherehekea ndege ikiland uwaishe ndio waanza kujua mambo. Wanadhani airline industry ni mchezo? Uganda walijaribu wakafeli.😀
Unataka nasi tufeli sio?
Kama Uganda walifeli basi sis tutafaulu.
 
Ndege zinatusaidia nini sasa
  1. Ndege zitasaidia kukuza sekta ya utalii na kuongeza ukusanyaji wa mapato ya serikali kama kodi ambayo itatumika katika kulipa mishahara na miradi ya maendeleo
  2. Kuongezeka kwa utalii utatengeneza ajira nyingi zaidi kwenye sekta ya service
  3. Kuwepo kwa stable airline kutarahisisha technology transfer from abroad....maana itakuwa ni rahisi kwa experts kuja tanzania
  4. uwekezaji wenyewe wa ndege utatengeneza ajira ....maana kila unapoleta ndege moja jua ni lazima uajiri si chini ya marubani wawili, aircraft engeeners na air hostess
  5. kuleta ndege kutaongeza speed katika kufanya biashara za kimataifa kati ya tanzania na abraod maana itapunguza baadhi ya gharama za kusafiria
  6. Hizo ni baadhi ya faida ninazoziona mimi.....kama kuna nyingine wadau watakwambia
 

Ahaaa haaa haaa
Aisee pole na maumivu ya kushindwa kuandamana. Niliwaambia ya KUWA azma YENU ya kuwafanya waTanzania majuha haitatimia. Yale maandamao yalikuwa yakufikirika yaliyoandaliwa na na watu wa KUSADIKIKA ili yafanyike kwenye NCHI YENU ya KUSADIKIKA YA Insta.

Tukija kwenye mada, hasara kwa kipindi hiki cha mwanzo haikwepeki, kwa KUWA ATCL had 0 market share. It's in high time to penetrate the market which is strongly dominated by the private companies. Give time you see WHAT I mean.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…