Boeing kuliinua zaidi AirTanzania yatoa ndege kwa Fujo kwa AirTanzania

Hiyo balance ya kote iko wapi?
Muhimu kwangu ni kukupa concept ya uongozi wa nchi na dunia, sasa hizo details nadhani sio juu yangu, wewe mwenyewe utaangalia na kuona wapi kuna balance na wapi hakuna balance, na kawaida ni very subjective, sio rahisi kupata blue print katika swali lako.
 
Sawa ila kwakua mimi ni mtu mzima, nina akili timilifu na naona mambo yalivyo. Hayo unayosema baki nayo mwenyewe wacha mimi niendelee na fikra zangu.
 
Sawa ila kwakua mimi ni mtu mzima, nina akili timilifu na naona mambo yalivyo. Hayo unayosema baki nayo mwenyewe wacha mimi niendelee na fikra zangu.
Mimi ninadhani lengo lako la kuja hapa JF ni kutaka watu wachangie, ndicho nilichofanya, kubadilia au kutobadilia ni uamuzi wa mtu binafsi, sio muhimu kwangu kujua kama utabadilika au hutobadilika, sikutegemea kauli hiyo kwa mtu anayejiita mtu mzima.
 
Unachoamini wewe ni sahihi sio nitakachoamini mimi. Basi kauli nimeshaitoa na itabaki hivyo hivyo milele labda uzi ufutwe.
 
Bibi yako wa kijijini akijengewa barabara sisi wa mjini tunafaidika na nini? Punguza ujinga kidogo.
 
Unachoamini wewe ni sahihi sio nitakachoamini mimi. Basi kauli nimeshaitoa na itabaki hivyo hivyo milele labda uzi ufutwe.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ila ni matumaini yangu kuwa lazima kuna kitu tumejifunza, ndio uzuri wa hii mijadala, huondoki mtupu. Muhimu ni kuendelea na hii mijadala bila jazba wa kiburi.
 
NGEGE ndo kitu gn......yn gaazeti linapita kwenye macho ya mwandishi......linakuja kwa editor...mpka mhariri wa gazeti ndo linakuja sis tulisome likiwa hivo!!??
Siyo NGEGE tu, editor pia hakuona kuwa hakuna kampuni ya ndege inaitwa "BOING"
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ila ni matumaini yangu kuwa lazima kuna kitu tumejifunza, ndio uzuri wa hii mijadala, huondoki mtupu. Muhimu ni kuendelea na hii mijadala bila jazba wa kiburi.
Hahaaa
 
ukitaka kupanda ndege punguza safari za kwenda saloon kila siku nakupa good idea
we ulitaka kupanda ndege kwa nauli ya bus???😀😀😀😀😀

Hilo ni jibu la kipuuzi kila nchi inakipaumbele chake na the most commo ones in African countries ni kuondoa ujinga Maradhi na umaskini which the current regime is not there prorities going by the economic decision they are currently undertaking like hizo za kununua ndege ambazo tunajisifu nazo ambazo hizi zilizopo zenyewe zinasafiri nusu tupu bila kujaza abiria nikama unaoversupply kuliko demand ilimradi tu upate sifa .
 
Utaambiwa una IQ ndogo sasaivi
 
Nchi inaongozwa kwa ilani ya CCM na sio maoni yako.
 
Juzi mlikua munaimba wimbo wa ndege ni cash leo mnaimba wimbo tofauti. Respect the OG's KQ imenunua ndege zaidii ya 60 huwezi kutuambia kitu kuhusu ununuzi wa ndege.
KQ haijawahi kununua ndege dogo acha uzwazwa!!
 
Ndio maana mimi na wenzangu ambao hazitusaidii nimetoa comment kwa niaba yao. Wala sijasema mtu asipande ndege.
sawa si lazima zikusaidie wewe pia!!
sisi wengine zinatusaidia!!
 
Mwenye IQ ndogo umeweza kutofautisha utalii na utarii lakini umeshindwa kuelewa Kenya wanavyotumia Kenya airway kuleta watalii nchini mwao kwa kutumia vivutio vya utarii vilivyopo Tanzania na pia umeshindwa kuelewa katika maisha kipi kinatangulia kutafuta pesa ndo upate huduma au upate huduma ndo utafute pesa .
Halaf pia umeshindwa kuelewa the future in EAC(east Africa community) ,kuwa mipaka itakapofunguliwa nn kitakachotofautisha hizi nchi katika ukuwaji wa uchumi(wengi wenye IQ kama yako wanaona Raisi anavyo angaika na reli ya kisasa dar- mwanza - Rwanda , kufufua shirika la ndege kama vile hana akili ila believe me ameona mbali sana .kitakacho mata katika EAC ni miundombinu ya usafirishaji.Otherwise tutakuwa watazamaji
Pia umeshindwa kuelewa Mr.van alitafutapesa ndo akakupata ww ndo ukampatia huduma au alipewa huduma ndo akatafuta pesa..??
 
Ni habari njema ingawa hicho kijarida kilichoandika hakiaminiki hata kidogo.

Vv
 
Sawa
 
Kama hujui, that's one way of Boeing leasing to you indirect and having a stranglehold on you with that sweetened offer! Nothing in aviation is by chance especially from manufacturers and a profitable aircraft for them is the one in the hands of a customer. ATCL will learn the hard way that before breaking even with those B787,Boeing will be raking in cash at the expense of your operational efficiency.
Good luck!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…