Boeing kuliinua zaidi AirTanzania yatoa ndege kwa Fujo kwa AirTanzania

Yani ndege ni kwa ajili ya kundi la watu wachache. Nashangaa wanavyozipa priorities wakati kundi la watu wengi lina hali mbaya
BRT phase two wana anza ujenzi mwaka huu, Meli ziwa victoria zinajengwa mbili, reli ya kati ya kisasa inajengwa ile ya zamani inaboreshwa, ya kwenda kaskazini inafufuliwa, Mabehewa mapya, Mabarabara yana endelea kujengwa Dar na mikoani, Tozo za kilimo zimefutwa, Upatikanaji wa dawa umeongezeka na urasimu mahospitalini umepungua! Hivi vitu nazani vina gusa kundi kubwa. List ni ndefu saa zingine tuwe wa kweli, changamoto zipo ila siyo upande huo.
 
Du! Kupanda Mishahara bado sana,utasikia mpaka Dreamliner nyingine ije ndiyo apandishe
 
umaskini unaanza kuondolewa kwa juhudi zako binafsi alaf serekali ndio inafuata usitegemee serekali itakuletea nyumba na maisha mazuri wewe umelala kitandani ondoa hio ideological believe na ujitume kwa bidii huku ukiwa na plan zenye tija kwenye maisha yakoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

naomba uniletee ushahidi kua zinasafiri nusu tupu tafadhali usiniletee story za vijiweni sijui watanzania tuna matatizo gani
 
Utaambiwa una IQ ndogo sasaivi
siwezi kumwambia hvo hapa tupo kuelimishana na kuelewana na sio vita lakini lazma tutazame mambo kwa upana sana sio kuokota story za vijiweni na kuleta hapa
 
nonsense alwaysπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wanafiki ni wale wanaopigia makofi upuuzi wa kuwa na ndege ambazo ni hasara kubwa kwa Taifa na haziongezi chochote katika maslahi ya Watanzania.

tutamuelewa tu JPM, Mungu amuzidishie baraka tu, wanafiki tuumbuke
 
hata German haikujengwa kizembe bali kuna watu walidhubutu kutokusikiliza kelele za watu wenye fikira fupi, kula nyama huku akilala kwenye tembe, sio tatizo letu ila ni fikira fupi tu
 
urasimu umepungua wapi?
 
NGEGE ndo kitu gn......yn gaazeti linapita kwenye macho ya mwandishi......linakuja kwa editor...mpka mhariri wa gazeti ndo linakuja sis tulisome likiwa hivo!!??
Huwa wana haraka sana hao si unajua tena matatizo ya kujipendekeza?
 
so emirates waliponunua airbus A380 themanini walichukua mkopo???πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Nakwambia hakuna shirika la ndege la kibiashara halichukui mkopo kwenye ununuzi wa ndege. Nasema hakuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…