thisdayes
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,610
- 4,556
BRT phase two wana anza ujenzi mwaka huu, Meli ziwa victoria zinajengwa mbili, reli ya kati ya kisasa inajengwa ile ya zamani inaboreshwa, ya kwenda kaskazini inafufuliwa, Mabehewa mapya, Mabarabara yana endelea kujengwa Dar na mikoani, Tozo za kilimo zimefutwa, Upatikanaji wa dawa umeongezeka na urasimu mahospitalini umepungua! Hivi vitu nazani vina gusa kundi kubwa. List ni ndefu saa zingine tuwe wa kweli, changamoto zipo ila siyo upande huo.Yani ndege ni kwa ajili ya kundi la watu wachache. Nashangaa wanavyozipa priorities wakati kundi la watu wengi lina hali mbaya