Boeing yasimamisha uagizaji wa "aluminium" kutoka Urusi, yaani Mrusi anakandamizwa kote

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Anguko la uchumi wa Urusi ni dhahiri, mpaka wakome

  • Boeing said it stopped buying Russian aluminum in March after suspending operations in Russia.
  • It's the second crucial metal Boeing has stopped buying from Russia, Reuters first reported.
  • Boeing told Insider it sourced the metal from other countries, including the US.
Boeing said it stopped buying Russian-made aluminum following Vladimir Putin's invasion of Ukraine, marking the second time the aircraft manufacturer has ended sourcing a crucial material from the country.

"Boeing suspended purchasing aluminum from Russia in March, as we suspended major operations in Russia," the company told Insider. Reuters first reported the announcement, made late Tuesday.

The company said it sourced the metal from around the world, including the US, but did not provide further details.

Tukuulize :
1. Boeing alikuwa ananunu aluminum kiasi gani kutoka Russia na makampuni mengine yalikuwa yananunua kiasi gani kutoka huko huko Russian ili tujue kiasi kilichokuwa kinanunuliwa?

2. Je. Boeing alikuwa ananunua kwa bei gani hiyo aluminum huko Russia na Sasa atanunua kwa bei gani kwenye soko lake jipya la aluminum? Hii itatusaidia kujua kama Boeing itapata faida ama hasara kwa kuachana na soko la Russia.

Majibu ya ya Maswali haya ni muhimu sana kwako ili upate uhakika kama Russia atapata hasara kama unavyotamani iwe.
 
Winter’s coming, and winter’s going to be hard on the battlefield in Ukraine. We know that the size of the Ukrainian army is now roughly three times as big as what it was last winter,” Stoltenberg NATO secretary general added.
 
Siku Russia ikishindwa Vita vya Ukraine,Ujue ndiyo Russia itakuwa imeporomoka kiuchumi.
Lakini US na EU zisahau hilo kabisa.
Jeuri ya US kuitawala dunia na kujifanya polisi wa dunia imeisha.

USA ndio anatanua utawala wake duniani, Urusi ndio tuliona kama mbabe wa Marekani, ila kwa aibu ambayo imepata pale Ukraine, yaani nasikitika kuwaambia dunia sasa hatuna balance of power tena.
 
Mkuu hata USA, umchukie vipi ndio polisi wa dunia, na ataendelea kuwa hivyo kwa miaka mingi sana mbeleni!!, hiyo vita imesha muelemea kabisa, ila ni kuficha aibu tu, lakini si muda mrefu atanyoosha tu mikono!!Na nguvu aliyonayo ukraine sasa hivi ni balaa!!ni ujinga tu kutumia karibu 800milioni kwa siku kugharamikia vita ambavyo havina sababu.
 
Kumbe URUSI, ni kama Mandonga tu!!ila hii vita pro russia, imewachosha sana, kwani walikuwa wanaiona kama ni taifa hatari sana ki vita!!
 
Ujiulizi kwa nini NaTo ilieenda Mazima Yugoslavia ya zamani, Afghanistan, Libya, Iraq na sehemu nyingine ilieenda bila ruhusa ya UNSC. Lakini huku Ukraine inaenda kidigidigi? Mambo mengine siyo lazima utafuniwe.
 
Hatishwi kwasababu njaa hamfikiii lkn anaua uchumi wa taifa zima.
Vikwazo ni kansa itaua uchumi taratiibu.
Kibaya zaidi madhara yake yatabebwa na rais ajaye.
Hata sasa vikwazo havimuumizi putin sababu yeye analala, kula, kuvaa n.k bure kabisa. Joto hili linawapata raia wasio na hatia. Putin amepotea ktk hili.
 
Hatishwi kwasababu njaa hamfikiii lkn anaua uchumi wa taifa zima.
Vikwazo ni kansa itaua uchumi taratiibu.
Kibaya zaidi madhara yake yatabebwa na rais ajaye.
ndo wale wale akina Assad , Ghadaf , Samuel Doe , Lukashenko hawaelew mpk vita vifike ikulu zao , ila vifo vya rais haviwahusu kikubwa hajaonekana kashindwa vita
 
Tukuulize :
1. Boeing alikuwa ananunu aluminum kiasi gani kutoka Russia na makampuni mengine yalikuwa yananunua kiasi gani kutoka huko huko Russian ili tujue kiasi kilichokuwa kinanunuliwa?

2. Je. Boeing alikuwa ananunua kwa bei gani hiyo aluminum huko Russia na Sasa atanunua kwa bei gani kwenye soko lake jipya la aluminum? Hii itatusaidia kujua kama Boeing itapata faida ama hasara kwa kuachana na soko la Russia.

Majibu ya ya Maswali haya ni muhimu sana kwako ili upate uhakika kama Russia atapata hasara kama unavyotamani iwe.
mvamiz hachekew ndio maana hata sisi tulitaka uhuru licha ya kupoteza some slopes kutoka kwa mabeberu
 
Ujiulizi kwa nini NaTo ilieenda Mazima Yugoslavia ya zamani, Afghanistan, Libya, Iraq na sehemu nyingine ilieenda bila ruhusa ya UNSC. Lakini huku Ukraine inaenda kidigidigi? Mambo mengine siyo lazima utafuniwe.
mnaoishi kwa mashemej zenu mnaanza kujionesha mdogo mdogo , mfumuko wa bei hujauona na bado unadai wangeivamia Urusi ili uwe unalala njaa kabisa , huu ni ukilaz grade 1 , wenzio hawaish km nyumb kila kitu mipango , kila ttzo na solution yake
 
Mkuu hata USA, umchukie vipi ndio polisi wa dunia, na ataendelea kuwa hivyo kwa miaka mingi sana mbeleni!!, hiyo vita imesha muelemea kabisa, ila ni kuficha aibu tu, lakini si muda mrefu atanyoosha tu mikono!!Na nguvu aliyonayo ukraine sasa hivi ni balaa!!ni ujinga tu kutumia karibu 800milioni kwa siku kugharamikia vita ambavyo havina sababu.
Nakazia, US bado atatuongoza kwa miaka mingi mbeleni, kama Mungu ameruhusu iwe hivvyo, sisi ni nani wa kupinga?
 
Back
Top Bottom