Boeing yasimamisha uagizaji wa "aluminium" kutoka Urusi, yaani Mrusi anakandamizwa kote

Ujiulizi kwa nini NaTo ilieenda Mazima Yugoslavia ya zamani, Afghanistan, Libya, Iraq na sehemu nyingine ilieenda bila ruhusa ya UNSC. Lakini huku Ukraine inaenda kidigidigi? Mambo mengine siyo lazima utafuniwe.
Ukitahamu ni kwanini NATO, wana muacha N.KOREA, ajimwambafai, tu, wakati hana uwezo huo, ndio utajua ni kwanini hata mrusi walimuacha ajione ni kidume!!ila watapigana naye ki sayansi, tu, na sasa yuko hoi!!kwani si alisema atatumia nuklia, au bado?!!
 
mnaoishi kwa mashemej zenu mnaanza kujionesha mdogo mdogo , mfumuko wa bei hujauona na bado unadai wangeivamia Urusi ili uwe unalala njaa kabisa , huu ni ukilaz grade 1 , wenzio hawaish km nyumb kila kitu mipango , kila ttzo na solution yake
Mita bendi hazisomi Mkuu. Ndoja nirudi FM.
 
Ukitahamu ni kwanini NATO, wana muacha N.KOREA, ajimwambafai, tu, wakati hana uwezo huo, ndio utajua ni kwanini hata mrusi walimuacha ajione ni kidume!!ila watapigana naye ki sayansi, tu, na sasa yuko hoi!!kwani si alisema atatumia nuklia, au bado?!!
Sawa. Lakini siku za usoni tusikimbiane.
 
USA ndio anatanua utawala wake duniani, Urusi ndio tuliona kama mbabe wa Marekani, ila kwa aibu ambayo imepata pale Ukraine, yaani nasikitika kuwaambia dunia sasa hatuna balance of power tena.
Mambo ndo kwanza yanaanza hata Marekani mweyewe anajua adui yake mkubwa ni China hii ya Mrusi ni kama zuga tu kiporo kinapashwa...............mchina akicheza kete ya Taiwan tu game over...............Putin anawafanya wamagharibi pia watumie resources nyingi kupigana hii vita yeye akimpa mchina hizo gesi na mafuta kwa bei chee hata nusu ya ile bei ya dunia bado faida anapata ya kuendesha nchi na vita wa muda mrefu ndo maana ana kiburi cha kusikilizia hadi msimu wa baridi hapo......sidhani hata mchina nae atalaza damu msimu huo.........hata vita na hitler mrusi alitumia msimu wa mvua na baridi kali kummaliza mjerumani.........mambo ndo kwanza yanaanza
 
Mchina ni makini sana hawezi akafanya ujinga wa Urusi, hapendi mabalaa ya kijinga na huwa hawapendi nyie watu, amewazuia kwake hamjapenya.
 
Hata pigana vita na anaweza kuichukua Taiwan kilaini kama alivyoichukua hongkong ................mrusi anatengeneza mazingira tu....
 
Ulaya na sehem nyingine sahivi zinanunua mafuta toka kwa mchina ambae yeye anachukua kwa bei chee toka kwa mrusi........watu wana mahesabu, mwakani muda kama huu habari itakua ni nyingine kabisa
 
Hata pigana vita na anaweza kuichukua Taiwan kilaini kama alivyoichukua hongkong ................mrusi anatengeneza mazingira tu....

Huko mnahamia kwa Mchina hana muda na nyie, tena hawapendi rudini huku muendelee kupokea kipodo cha HIMARS, kwa sasa hakuna mwenye shida na Mchina baada ya yeye kupiga bahari mabomu kwa mikwara ila akatumia akili.
 
Back
Top Bottom