Boflo yapanda bei Zanzibar

Ongezeko la 50 nalo linalalamikiwa, huo mkate unauzwa 1000 mainland
 
Leo sio Jana.
 
Kwani ACT wazalendo wanasemaje? Mbona na wao wako kwenye Serikali ya CCM.
 
Sijui hua mnaipendea nini, mikate mikavu hiyo mie mnanikamataga tu kwneye bites zenu, katles, bajia, sana hua napendelea mikate ya ufuta na uroojoo
Sidhani kama wanaipenda kwa shati, ni hali ya kipato chao huwalazimisha kula boflo
 
ndo maana wako legelege Sana,maisha ya mkate duuuh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…