Boflo yapanda bei Zanzibar

Boflo yapanda bei Zanzibar

Watu wa ukumbi huu napenda kuwapa habari tu kuwa mkate maarufu kule Zanzibar unajulikana kwa jina la Mkate wa Boflo sasa umepanda bei kutoka Tshs 200/= hadi Tshs 250/= kwa mkate 1 kwa wale wanaonunua reja reja.

Mtakumbuka kwamba Mkate wa boflo kwa maisha ya kule Zanzibar ni mkatae ambao karibu kwa asilimia 90 ya Wazanzibari hulalia na kuamkia mkate huu, kama hujaununua asubuhi basi jioni na usiku lazima utaununua tu.



Haaaahaaaa...tutaleta wawekezaji. Bei itashuka
 
Imagine baba mwenye nyumba usiku anakula boflo na kamchuzi halafu anaenda kulala.******
****Ndio maana mwanamke aliyeolewa wa visiwani akikutana na jabali la bara lazima achanganyikiwe.
sema wazanzibar wanazaliana Sana.
Mimi siamini ugali pekee ndo unakupa nguvu.
kwa watu wa pwani kula vyakula vya baharini vinawasaidia.
Hata hivyo hakuna mtume aliyekula ugali.
 
sema wazanzibar wanazaliana Sana.
Mimi siamini ugali pekee ndo unakupa nguvu.
kwa watu wa pwani kula vyakula vya baharini vinawasaidia.
Hata hivyo hakuna mtume aliyekula ugali.
Na ukanda huo ndio wanaongoza kwa kua na mke zaidi ya mmoja na watoto wengi.
 
Yaani mkate 250 ndiyo mlie aisee

Na mwanaume unakula usiku na supu ya samaki au na chai na unalala [emoji1787][emoji1787]


Ndio maana papuchi za kipemba zinatung'ang'ania sana huku kwanjeka tanga maana mmpo wengi kweli na familia zenu sijui mnapapendea nini
 
Hahahaha nakumbuka mara ya mwisho nilikula Boflo 2019 pale forodhani nikalipiga na supu ya dagaa Huko napata upepo safiiii nikisubiri Kilimanjaro 7 ya mchana nirudi zangu bara miyeeee!
Hahaaaha ila Boflo gumu Hilo ka zege lililolala aaagh bila kamnyweso lile huli wallah!
😂😂😂😂
 
Ngoja kwanza hiii Boflo ni ukubwa wa Mkate au Ukubwa wa Skonzi....

Isijekuwa tunasema 250/= mtu nadhani ni ukubwa wa mkate wa 1000/= huku Bara kumbe ni ka-skonzi tu... (hio Picha huenda imepigwa kwa karibu hivyo kukosa uhalisia wa ukubwa
 
Kama boflo imepanda Bei "MWINYI HAFAI"
nakumbuka 2009 nilikwenda Zanzibar ulikuwa 100.
Ila ukila mkavu unaweza kutoka JINO[emoji1787][emoji1787].
Sasa mkuu 250/= si ni sawa na chapati moja huku Tanganyika?? au vitumbua 2 au maandazi 2?
 
Sidhani kama wanaipenda kwa shati, ni hali ya kipato chao huwalazimisha kula boflo
mkuu, kwa wajomba zangu ndio kama nyumbani siku zote nikienda unguja, sjajua sehem zingine lakini kama hizo katles huuzwa mia mia maandaz ni bei hiyo hiyo nachokishangaa wewe mgeni ukifika utanunuliwa vitu kama hivyo wao wataminyana na maboflo na urojo tena wa mia 2 juu walie hivo vitu na hata ukiongeza hela wao lazima wanunue hiyo mikate na ukiwauliza hawana majibu na wakiikosa asbh bas jioni ngoma ni hiyo

hata kwa mchana wao ni wali wali na wao na mchuzi kama juisi sasa sometimes unanikinaisha nataka ugali huwez amini unga nanunuliwa nasonga nakula ila wao hawapendi sembe
 
Huwa unamegwa na bibi juu ya sinia la maharage, zile chenga hudondokea kwenye sinia. Kila mtu anapata pande lake na kazi inaendelea.
duh mimi hizo chenga labda nipikie kitu kingine lakini sio kuzila kavu kavu afadhali hio mikate ingekua milaini shida ni huo ugumu na wenyewe wameshazoea
 
Back
Top Bottom