Rogojin The Idiot
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 2,969
- 3,392
Haaaahaaaa...tutaleta wawekezaji. Bei itashukaWatu wa ukumbi huu napenda kuwapa habari tu kuwa mkate maarufu kule Zanzibar unajulikana kwa jina la Mkate wa Boflo sasa umepanda bei kutoka Tshs 200/= hadi Tshs 250/= kwa mkate 1 kwa wale wanaonunua reja reja.
Mtakumbuka kwamba Mkate wa boflo kwa maisha ya kule Zanzibar ni mkatae ambao karibu kwa asilimia 90 ya Wazanzibari hulalia na kuamkia mkate huu, kama hujaununua asubuhi basi jioni na usiku lazima utaununua tu.
sema wazanzibar wanazaliana Sana.Imagine baba mwenye nyumba usiku anakula boflo na kamchuzi halafu anaenda kulala.******
****Ndio maana mwanamke aliyeolewa wa visiwani akikutana na jabali la bara lazima achanganyikiwe.
Maisha bado yapo chini sana kuleHuko 50 bado inatumika [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mbona boflo NI mikate mizuri tu.Sidhani kama wanaipenda kwa shati, ni hali ya kipato chao huwalazimisha kula boflo
Na ukanda huo ndio wanaongoza kwa kua na mke zaidi ya mmoja na watoto wengi.sema wazanzibar wanazaliana Sana.
Mimi siamini ugali pekee ndo unakupa nguvu.
kwa watu wa pwani kula vyakula vya baharini vinawasaidia.
Hata hivyo hakuna mtume aliyekula ugali.
Mimi ugali hapanaa.Na ukanda huo ndio wanaongoza kwa kua na mke zaidi ya mmoja na watoto wengi.
Mwingine anakwambia uanaume ni kula ugali. Unabaki kushangaa ni uanaume kweli au uroho tuMimi ugali hapanaa.
Labda donaa lile la mahindi yasiyokobolewa yachanganywe na ngano.
Lakini sio sembe.imenishinda
Asia asaa China wapo zaidi ya bilioni 1.na hawali ugali.Mwingine anakwambia uanaume ni kula ugali. Unabaki kushangaa ni uanaume kweli au uroho tu
Halafu huko ndio breakfast hamna chai[emoji23][emoji23]. Ni supu, ubwabwa na tambi.Asia asaa China wapo zaidi ya bilioni 1.na hawali ugali.
Mkuu SIHA huwezi linganisha na hivyo vi boflo, mkate wa SIHA kwa sasa naweza kusema angalau kwa mbaliii inayoukaribia ni SUPER LOAF bread..Umenikumbusha mbaali sana! Mkate wa siha toka National milling,Dar. miaka ya 80 hivi.
Ni mgumu?Kama boflo imepanda Bei "MWINYI HAFAI"
nakumbuka 2009 nilikwenda Zanzibar ulikuwa 100.
Ila ukila mkavu unaweza kutoka JINO[emoji1787][emoji1787].
Sasa mkuu 250/= si ni sawa na chapati moja huku Tanganyika?? au vitumbua 2 au maandazi 2?Kama boflo imepanda Bei "MWINYI HAFAI"
nakumbuka 2009 nilikwenda Zanzibar ulikuwa 100.
Ila ukila mkavu unaweza kutoka JINO[emoji1787][emoji1787].
mkuu, kwa wajomba zangu ndio kama nyumbani siku zote nikienda unguja, sjajua sehem zingine lakini kama hizo katles huuzwa mia mia maandaz ni bei hiyo hiyo nachokishangaa wewe mgeni ukifika utanunuliwa vitu kama hivyo wao wataminyana na maboflo na urojo tena wa mia 2 juu walie hivo vitu na hata ukiongeza hela wao lazima wanunue hiyo mikate na ukiwauliza hawana majibu na wakiikosa asbh bas jioni ngoma ni hiyoSidhani kama wanaipenda kwa shati, ni hali ya kipato chao huwalazimisha kula boflo
duh mimi hizo chenga labda nipikie kitu kingine lakini sio kuzila kavu kavu afadhali hio mikate ingekua milaini shida ni huo ugumu na wenyewe wameshazoeaHuwa unamegwa na bibi juu ya sinia la maharage, zile chenga hudondokea kwenye sinia. Kila mtu anapata pande lake na kazi inaendelea.