Boflo yapanda bei Zanzibar

Wanasema ukijipanga moyo unaondoa sumu na stress mwilini 🤣🤣
 
duh mimi hizo chenga labda nipikie kitu kingine lakini sio kuzila kavu kavu afadhali hio mikate ingekua milaini shida ni huo ugumu na wenyewe wameshazoea

Kwa huk zenj usifananishe boflo na vtu vya kijinga…[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…