Boflo yapanda bei Zanzibar

Imagine baba mwenye nyumba usiku anakula boflo na kamchuzi halafu anaenda kulala.******
****Ndio maana mwanamke aliyeolewa wa visiwani akikutana na jabali la bara lazima achanganyikiwe.
True watu bara hasa kutoka mbeya, arusha, iringa, njombe ukanda wa baridi tukiwapa mchezo wazenji hawatoki kwa kilio cha utamu sio hao wa pwani mdebwedo sana😄😄😄
 
Mkuu get your facts right.

Ni baadhi ya maeneo tu, jana tumepita kisonge pale kwenye mkunazi karibu na Sauti ya Tanzania Zanzibar (Rahaleo) na tumenunua kwa TZS 200 per piece.

Ni kweli baadhi ya maeneo umepanda lakini sio kote
 
Na mnavyotaka muungano uvunjike maanina nyie na kijiji chenu hicho hilo boflo mtalinunua buku
Jiheshimu wewe !

Heshima kitu cha bure, unafaidika na nini kutukana ovyo?? Hii ID hata kama ni fake lakini inakuwakilisha wewe na tabia zako
 
hebu nambie pengine unaweza nifungua macho, na wanaipenda almost karibu kila familia wanaila
That should tell you kwamba hii bidhaa ni nzuri na tamu. Imekubalika for years now na wala hakuna dalili ya watu kuisusa. Ni mkate ambao ni mzuri na mtamu haswa kiladha na kiafya. Hautengenezwi kwa kutumia mafuta kabisa

My wife is preparing that for me hapa nilipo hahahaah.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…