Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio, Chad imekuwa mstari wa mbele kupambana na Boko Haram eneo hiloKwani Boko Harama wana mgogoro wowote na Chad?
Basi wewe sio mfuatiliaji taarifa.I don't want to go into details about utekaji wa wanawake na Uislamu but the thing is, kwanini watumie DINI na baadhi ya watu wa dini yao wawaunge mkono? Na wanatajaga hadi AYA za kuhalalisha ushetani wao; sina kumbukumbu kama nimewahi kumsikia sheikh au kiongozi wa Kiislam popote akiwakemea hawa wanao haribu "dini ya mnyazimungu" but nawasikia mara nyingi wakipinga vitu ambavyo wala havina msingi, wala havina uhusiano na either wao au nchi.
Nitumie hiyo link ya ma sheikh wa Bukina na Nigeria; za Marais wa Kiislam achana nazo, hizo nazijua cause hata hapa kwetu kuna ka kikundi kule Zanzibar kalikua kana itikadi za namna hiyo hiyo, kanafundisha chuki za kuuana, Kikwete na Dr. Shein wote wakiwa Waislamu walikashikisha adabu. Mimi nataka kauri za ma sheikh. Sitaki kutaja mifano ya Wakristo kukemeanaa wao kwa wao. Tuendelee na hi mijitu inayopenda kuua wenzao wakati hata hawana ugomvi halafu yakiua yana mshukuru AllahBasi wewe sio mfuatiliaji taarifa.
Masheikh wakubwa hadi wa Burkinafaso,Chad na Nigeria walizungumza na kutoa utofauti kati ya ugaidi na jihadi.
Sheria za jihad;
1)Huruhusiwi kuharibu mimea.
2)Huruhusiwi kuharibu mji/miundombinu.
3)Huruhusiwi kuua watoto,wanawake na wazee.Hii inajumlisha kutokuwagusa wanawake kiujumla.
Mkuu uwe unafuatilia taarifa.
Marais wa ECOWAS ambao wengi ni Islam majority wasingewa term Bokoharam kama magaidi.
Inaonekana kuna taarifa unazikosa.
Kuhusu watu kutumia dini kufanya haya maovu sababu inajulikana.
Kuna baadhi ya watu hufikisha mafundisho ya dini vibaya na kupindisha maana za ayah katika Qur'an ili kuhalalisha wanaoyataka.
Ila ukitizama ni wamekosea.
Yapo hadi madhehebu yanayojiita ya kiislam yanapindisha ayah ya Qur'an kuhalalisha kulawiti mwanamke.
Ila ukitizama Qur'an imekataza.
Shida ni baadhi ya watu kutumia vibaya mafundisho.
Na hili halipo tu katika uislam hata katika ukristo lipo.
Nitakuletea hivi punde maana ni habari ya muda ngojea niitafute.Nitumie hiyo link ya ma sheikh wa Bukina na Nigeria; za Marais wa Kiislam achana nazo, hizo nazijua cause hata hapa kwetu kuna ka kikundi kule Zanzibar kalikua kana itikadi za namna hiyo hiyo, kanafundisha chuki za kuuana, Kikwete na Dr. Shein wote wakiwa Waislamu walikashikisha adabu. Mimi nataka kauri za ma sheikh
Ukiuliza why Boko haram wamefanya hivo; yaani ni nini sababu ya wao kuua au kupigana, hautapata jibu la maana. Yaani wakiua hivo, utasikia "Allah wakubalu" pumbafu. Yaani yatamshukuru Mungu kwa kuua watu ambao wala hawana ugomvi nao. Na kuna watu humu ndani huaga wanawaunga mkono, stupid
I understand that my elder brother; the thing is, mabeberu tunajua kua ni mapagani, why wewe unae amini "mungu" na wengine unawaita makafiri, halafu makafiri wakutumie wewe kuua watu wengine, si unadharauliwa tu.Migogoro inaanzishwa na kuchochewa na mabeberu ili wapate mahali pa kuuza silaha, nchi ziwe busy kupambana na vita badala ya kufanya maendeleo...
Acha kudanganya watu bwana, Boko Haram ni kikundi cha kigaidi cha kiislam.👇👇👇👇👇Boko Haram siyo kundi la Wapiganaji wa dini ya kiislamu kwa 100%, siyo kweli hata kidogo.
Boko Haram ni matokeo mabaya ya Siasa chafu zinazofanya na tawala zilizopo kwenye hizi nchi zetu za ki-Afrika. Tawala zilizopo zimefitinika vibaya Sana.
Danganya wajinga. Mikakati yenu ovu kamwe haiwezi kufanikiwa. 👇👇👇👇👇👇Migogoro inaanzishwa na kuchochewa na mabeberu ili wapate mahali pa kuuza silaha, nchi ziwe busy kupambana na vita badala ya kufanya maendeleo...
Wewe ungekuwa na akili unafikiri ungeacha kuthamini utamaduni wako na kuhusudu wa jamii nyingine.Nikikwambia huna akili unaweza ukaona nimekutukana ila hapana itakua nimekupa sifa yako sababu kweli huna akili ama kama unazo huwezi kuzi tumia
4 Anti balaka wa pale Afrika ya kati wanatambulika kama magaidi nakupa jf work nenda kagugo ujue wale waislam au sio waislam
3 lini wakristo dunia nzima muliwahi kuandamana kulaani matendo yanayo fanywa na hao magaidi wanaojinasibisha na uislam au kwakua na nyie munapenda ugaidi ndio maana hamkuandamana kupinga wayafanyayo
2 hao magaidi washapewa pesa na sio waislam wao wanachoangalia ni kuchukua tu maokoto kukanusha kazi kwenu sisi hapa tunaokanusha uhusika wa uislam na waislam kwenye ugaidi kwani sio waislam
1 hayo ni matakwa yao na nafsi yao kama ni waislam na wakaamua kufanya hivyo uislamu umekataza zinaa wizi ila wapo waislam wanafanya hii ndio kumaanisha uislamu unataka hivyo au wao wenyewe wameamua kwenda kinyume na mafundisho ya uislam
Umejitahid kuandika ila hakuna hoja yenye mashiko
Utatamkaje maneno hayo ya kiarabu kama wewe siyo muumini wa utamaduni wao.Ukiambiwa huna akili utasema unatukanwa wewe ukipewa pesa uwambiwe ukamuue mtu huku ukisema Allah akbar utakua ushakua muislamu tayar
Boko Haram ni matokeo hasi yatokanayo na Biafra war iliyotolewa huko Nigeria mnamo miaka ya 1960's.Acha kudanganya watu bwana, Boko Haram ni kikundi cha kigaidi cha kiislam.👇👇👇👇👇
National Counterterrorism Center | Groups
Contains many features across the full range of issues pertaining to international terrorism: terrorist groups, wanted terrorists, and technical pages on various threat-related topicswww.dni.gov
Mbòna sheikh rogo kwenye moja ya hotuba zake anadai alshabab sio magaidi na inabidi kila muislamu akajiunge nao?Nani humu ndani ameunga mkono Boko haram!?
Au kwa chuki zako za kidini unafananisha mapigano ya Palestina na Boko haram!?
Aisee pole sana kwa hilo fuvu lako.
Bokoharam inatambulika kama magaidi kama wanavyotambulika Alshabaab.
Chad ni waislam ila wanawatambua Boko haram kama magaidi.
Punguza kuropoka.
Acha kudanganya watu bwana, sisi sio watoto. Boko Haram ni kikundi cha kigaidi cha kiislam na hilo halina ubishi.Boko Haram ni matokeo hasi yatokanayo na Biafra war iliyotolewa huko Nigeria mnamo miaka ya 1960's.