Boko Haram waua wanajeshi 40 wa Chad

Huo ukanda wote wa Sahel umechafuka haswa
 
Basi wewe sio mfuatiliaji taarifa.
Masheikh wakubwa hadi wa Burkinafaso,Chad na Nigeria walizungumza na kutoa utofauti kati ya ugaidi na jihadi.
Sheria za jihad;
1)Huruhusiwi kuharibu mimea.
2)Huruhusiwi kuharibu mji/miundombinu.
3)Huruhusiwi kuua watoto,wanawake na wazee.
Hii inajumlisha kutokuwagusa wanawake kiujumla.

Mkuu uwe unafuatilia taarifa.
Marais wa ECOWAS ambao wengi ni Islam majority wasingewa term Bokoharam kama magaidi.
Inaonekana kuna taarifa unazikosa.

Kuhusu watu kutumia dini kufanya haya maovu sababu inajulikana.
Kuna baadhi ya watu hufikisha mafundisho ya dini vibaya na kupindisha maana za ayah katika Qur'an ili kuhalalisha wanaoyataka.
Ila ukitizama ni wamekosea.
Yapo hadi madhehebu yanayojiita ya kiislam yanapindisha ayah ya Qur'an kuhalalisha kulawiti mwanamke.
Ila ukitizama Qur'an imekataza.
Shida ni baadhi ya watu kutumia vibaya mafundisho.
Na hili halipo tu katika uislam hata katika ukristo lipo.
 
Nitumie hiyo link ya ma sheikh wa Bukina na Nigeria; za Marais wa Kiislam achana nazo, hizo nazijua cause hata hapa kwetu kuna ka kikundi kule Zanzibar kalikua kana itikadi za namna hiyo hiyo, kanafundisha chuki za kuuana, Kikwete na Dr. Shein wote wakiwa Waislamu walikashikisha adabu. Mimi nataka kauri za ma sheikh. Sitaki kutaja mifano ya Wakristo kukemeanaa wao kwa wao. Tuendelee na hi mijitu inayopenda kuua wenzao wakati hata hawana ugomvi halafu yakiua yana mshukuru Allah
 
Nitakuletea hivi punde maana ni habari ya muda ngojea niitafute.
 

Migogoro inaanzishwa na kuchochewa na mabeberu ili wapate mahali pa kuuza silaha, nchi ziwe busy kupambana na vita badala ya kufanya maendeleo...
 
Migogoro inaanzishwa na kuchochewa na mabeberu ili wapate mahali pa kuuza silaha, nchi ziwe busy kupambana na vita badala ya kufanya maendeleo...
I understand that my elder brother; the thing is, mabeberu tunajua kua ni mapagani, why wewe unae amini "mungu" na wengine unawaita makafiri, halafu makafiri wakutumie wewe kuua watu wengine, si unadharauliwa tu.
"Mtu mwenye akili, akikushauri jambo la kipumbavu na akajua na wewe umejua kua lile jambo la kipumbavu halafu ukaliamini, mtu huyo atakudharau" By JK. Nyerere, Mayday 1995
 
Boko Haram siyo kundi la Wapiganaji wa dini ya kiislamu kwa 100%, siyo kweli hata kidogo.

Boko Haram ni matokeo mabaya ya Siasa chafu zinazofanya na tawala zilizopo kwenye hizi nchi zetu za ki-Afrika. Tawala zilizopo zimefitinika vibaya Sana.
Acha kudanganya watu bwana, Boko Haram ni kikundi cha kigaidi cha kiislam.πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Migogoro inaanzishwa na kuchochewa na mabeberu ili wapate mahali pa kuuza silaha, nchi ziwe busy kupambana na vita badala ya kufanya maendeleo...
Danganya wajinga. Mikakati yenu ovu kamwe haiwezi kufanikiwa. πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Wewe ungekuwa na akili unafikiri ungeacha kuthamini utamaduni wako na kuhusudu wa jamii nyingine.
 
Ukiambiwa huna akili utasema unatukanwa wewe ukipewa pesa uwambiwe ukamuue mtu huku ukisema Allah akbar utakua ushakua muislamu tayar
Utatamkaje maneno hayo ya kiarabu kama wewe siyo muumini wa utamaduni wao.
 
Boko Haram ni matokeo hasi yatokanayo na Biafra war iliyotolewa huko Nigeria mnamo miaka ya 1960's.
 
MbΓ²na sheikh rogo kwenye moja ya hotuba zake anadai alshabab sio magaidi na inabidi kila muislamu akajiunge nao?
 
Boko Haram ni matokeo hasi yatokanayo na Biafra war iliyotolewa huko Nigeria mnamo miaka ya 1960's.
Acha kudanganya watu bwana, sisi sio watoto. Boko Haram ni kikundi cha kigaidi cha kiislam na hilo halina ubishi.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…