usiseme huna uwezo hapo ndio unajivunja moyo mwenyewe
jaribu kuandika mwenyewe aina za mapishi halafu tafuta waandishi upate msaada wa njia gani za kuweza kuandika kitabu wakati huo unayo maandishi yako ya aina tofauti ya mapishi panapo nia na njia itapatikana