Boksa za kisasa za Wanaume

Boksa za kisasa za Wanaume

Ahaa shukrani kwa elimu mkuu, I thought hawapendekezi za kubana mbupu, regardless.
Ndio boss, ndio maana boksa kama hizi ninazouza mbele pameongezwa uwazi
 
Hizi boxer favours kwa wale slay boys, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Malijari mvae zile HH bhanaa. Baba tamu wangu akivaa hii tunaachana hapo hapo.
 
Hizi boxer favours kwa wale slay boys, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Malijari mvae zile HH bhanaa. Baba tamu wangu akivaa hii tunaachana hapo hapo.
😂 Heee kulikoni kuachana kisa boxer??
 
Hizi ni boksa
Hizi boxer favours kwa wale slay boys, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Malijari mvae zile HH bhanaa. Baba tamu wangu akivaa hii tunaachana hapo hapo.
boksa zinazouzwa bara la Ulaya nzuri sana sio kama local ambazo hazina mvuto
 
Wafanyabiashara wa bongo hawaweki bei kwa sababu siyo waaminifu.
Lengo la kutokuweka bei ni kwasababu ninapofuata mzigo nakutana na bei mpya mara kwa mara
 
maandishi yenyewe makubwa kama ya kwenye bus la Kimbinyiko,
maandishi madogo yenye maana au iwe plan hizo ndo gentleman wanavaa!!
Maandishi makubwa ni kama nakshi hasa kwenye mkanda
 
Hivi hamnaga zisizo na hayo maandishi maandishi?
 
Wee unaona ziko sawa kwa mwanaume lijari??

Hizi zinawafaa kina lokolee, boxer km chupiii lol.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana, nakusihi usiwe na mawazo hayo mabaya, kuwa positive, hizi ni boksa zinazovaliwa na mataifa makubwa kama Marekani, bidhaa zao ni zenye hadhi kubwa na muonekano mzuri,
 
Back
Top Bottom