TheCrocodile
JF-Expert Member
- May 31, 2021
- 1,864
- 5,254
Nakubali.Ujinga,maradhi na umasikini ni hatari sana.
Nyerere alikua sahihi kupambana navyo vyote.
Nilihama Dar Kwasababu Yapo Mambo Yanatia KinyaaIla watu wa dar kwa kukusanyika kwenye matukio yasio na kichwa wala miguu!
Sasa huyo mbaba hapo na ushababi wake !! Daaah!
Hiyo inaonyesha ukosefu wa shughuli za kueleweka mjini DaslamIla watu wa dar kwa kukusanyika kwenye matukio yasio na kichwa wala miguu!
Sasa huyo mbaba hapo na ushababi wake !! Daaah!
Usikute "mwamba" mmoja kaamua tu kuwachangamsha watu, kaamua kuliacha boksi hilo hapo barabarani.Sasa hilo boksi lina uajabu gani?
Kwa kweli.Nilihama Dar Kwasababu Yapo Mambo Yanatia Kinyaa
Naunga mkono hoja yako kwa nguvu zoteUjinga,maradhi na umasikini ni hatari sana.
Nyerere alikua sahihi kupambana navyo vyote.
It's Very badNaunga mkono hoja yako kwa nguvu zote
PGO inasemaje kuhusu kufungua maboksi yaliyotelekezwa mtaani?Boksi ambalo bado halijafahamika lina nini ndani yake limekutwa Kituo cha Mabasi cha kwenda Tegeta maeneo ya Mwenge, Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa mtaa wa Mlalakuwa, Suleiman Masare amesema kuwa boksi hilo lilitelekezwa tangu jioni ya jana Jumatano Agosti 5,2026.
Polisi washafika eneo la tukio na kwa sasa zinasubiriwa taratibu za jeshi la Polisi ili boksi hilo lifunguliwe.
Wameita polisi ndo walifungue😄Bado halijafunguliwa?