TheCrocodile
JF-Expert Member
- May 31, 2021
- 1,864
- 5,254
- Thread starter
- #41
Hatuna shughuli za kufanyaWabongo kwa udaku, taharuki ya bure kabisa.
Hatuna shughuli za kufanyaWabongo kwa udaku, taharuki ya bure kabisa.
Kama jalalani.Mwenge bado sana
Watajuaje na hakuna anaetaka kulifungua?La ajabu kivipi wakati hata hamjui ndani kuna nini 🤔
Kwa nini asiwaze kuwa linaweza kiwa limejaa $$?😄😄Hapo naweza kuisoma akili ya huyo baba mwenye kitambi na kipara na mawani...
Hapo anawaza "hili boksi limejaa nyoka na viumbe wengine wa ajabu"
Hujaona alivyokaa mbali na kwa tahadhari!!Kwa nini asiwaze kuwa linaweza kiwa limejaa $$?😄😄
Polisi hawatasema, wataficha😂😂Natamani hilo boks likutwe na vipeperushi vya kuhamasisha Haki na uhuru
TB-CCM😂Media uchwara bhana
Kakaa kimachale sana😂😂Hujaona alivyokaa mbali na kwa tahadhari!!
Nenda kaliibe mkuu, bado lipo😂Yani wameshindwa kulifungua au kuliiba?
Hahaha hata wakificha tayari ukweli unakuwa umejulikanaPolisi hawatasema, wataficha😂😂
Wanatutoa kwenye reli, sio?Drama za sisiem