Fund man
JF-Expert Member
- Feb 24, 2021
- 4,230
- 5,734
It is a mateoriteFallen from Space🤣🤣
It is a mateoriteFallen from Space🤣🤣
Ki vipi?Hahaha hata wakificha tayari ukweli unakuwa umejulikana
Ki vipi?Nakubali.
Hahaha limejaa?Limefunguliwa asaiv zimekutwa tonetone za Heche!!
Lipo nusu, bukubuku zote zimeishia milioni tano tu!!Hahaha limejaa?
Tena mbao zenyewe za kuungaunga.Sasa hilo boksi lina uajabu gani?
MREJESHO:Boksi ambalo bado halijafahamika lina nini ndani yake limekutwa Kituo cha Mabasi cha kwenda Tegeta maeneo ya Mwenge, Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa mtaa wa Mlalakuwa, Suleiman Masare amesema kuwa boksi hilo lilitelekezwa tangu jioni ya jana Jumatano Agosti 5,2026.
Polisi washafika eneo la tukio na kwa sasa zinasubiriwa taratibu za jeshi la Polisi ili boksi hilo lifunguliwe.
Mambo ya aina hii kwa Dar yapo kitambo kama ile ya jamaa kugeuka chatuNilihama Dar Kwasababu Yapo Mambo Yanatia Kinyaa
Kweli kama ulivyosema hizi ni drama za chama twawalaJeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limetoa ufafanuzi kuhusu sanduku kubwa la mbao lililotelekezwa na kuzua taharuki kubwa miongoni mwa wananchi katika eneo la Mwenge, Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Taarifa iliyotolewa leo Agosti 6, 2026 na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam inaeleza kuwa sanduku hilo lilionekana majira ya saa 3:00 asubuhi katika kituo cha daladala cha mabasi yaendayo Tegeta, likiwa limefungwa kwa kufuli na kuzungushiwa kitambaa kwa mtindo wa alama ya jumlisha.
Baada ya kupokea taarifa hizo, timu ya wachunguzi kutoka Jeshi la Polisi ilifika eneo la tukio na kulifungua sanduku hilo, ambapo walikuta vipande vya mbao vilivyotengenezwa kwa muundo usio wa kawaida.
"Baada ya kufanya uchunguzi wa awali na kulifungua sanduku hilo, wataalamu wetu walikuta ndani yake kipande cha mbao kilichochongwa kwa mithili ya mguu wa kiti au kitanda cha mtindo wa kizamani. Kitendo hiki kinaweza kuhusishwa na imani za kishirikina au nia ya kutengeneza taharuki kwa umma," imeeleza taarifa hiyo ya Polisi.
Jeshi la Polisi limewatoa hofu wananchi na kuwataka kuendelea na shughuli zao za kila siku huku likiendelea na uchunguzi kubaini mtu au watu waliohusika kutelekeza sanduku hilo kituoni hapo.
#PolisiDarEsSalaam #Mwenge Kinondoni #TaharukiMwenge #JeshiLaPolisi #DarEsSalaam SasaLiveView attachment 3644524
Hii nchi ina ujinga mwingi sana sass hiviKweli kama ulivyosema hizi ni drama za chama twawala
Tayari limekutwa na mguu wa meza ya mbaoBado halijafunguliwa tu?
🤣🤣🤣 Ila watu...lengo lilikuwa tu kuleta taharukiTayari limekutwa na mguu wa meza ya mbao
Hata mimi nimewaza hivo hivo 😅Ila watu wa Dar kwa kukusanyika kwenye matukio yasio na kichwa wala miguu!
Sasa huyo mbaba hapo na ushababi wake !! Daaah!