TheCrocodile
JF-Expert Member
- May 31, 2021
- 1,864
- 5,254
- Thread starter
- #21
Weka hiyo ya mwisho ndo iwe namba 1😄UJINGA
UMASIKINI
MARADHI
Chama Cha Mapinduzi
Weka hiyo ya mwisho ndo iwe namba 1😄UJINGA
UMASIKINI
MARADHI
Chama Cha Mapinduzi
Inasikitisha mnoIt's Very bad
PGO ipo kimya, polisi wenyewe wanaogopa🤣PGO inasemaje kuhusu kufungua maboksi yaliyotelekezwa mtaani?
Mkuu we sema tu ulihama kikazi inatosha.Nilihama Dar Kwasababu Yapo Mambo Yanatia Kinyaa
Hiyo ndio faida ya kujiajiri, unakuwa huru kwenda jambo lolote muda wowote, liwe la maana au la kijinga.Hiyo inaonyesha ukosefu wa shughuli za kueleweka mjini Daslam
Kujiajiri ndo inamaanisha kutumia muda wako vibaya kwa mambo yasiyo ya msingi?Hiyo ndio faida ya kujiajiri, unakuwa huru kwenda jambo lolote muda wowote, liwe la maana au la kijinga.
Huna macho?Mi bado nasubiria nioneshwe picha ya hilo box la maajabu.View attachment 3644443
Kwahiyo bado hawajaja?Wameita polisi ndo walifungue😄
Kwa tension waliyalipa hilo boksi natamani wakute maandishi na mabango ya kuhimiza uwajibikaji, haki na utawala wa sheria.
Uhuru wa kujipangia ratiba zako.Kujiajiri ndo inamaanisha kutumia muda wako vibaya kwa mambo yasiyo ya msingi?
Inasemekana watu wengi wa Daslam ni misukule.Muwaonee huruma.Nilihama Dar Kwasababu Yapo Mambo Yanatia Kinyaa
Maajabu kwenye hili box ni yapi?Huna macho?
Fallen from Space🤣🤣Boksi ambalo bado halijafahamika lina nini ndani yake limekutwa Kituo cha Mabasi cha kwenda Tegeta maeneo ya Mwenge, Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa mtaa wa Mlalakuwa, Suleiman Masare amesema kuwa boksi hilo lilitelekezwa tangu jioni ya jana Jumatano Agosti 5,2026.
Polisi washafika eneo la tukio na kwa sasa zinasubiriwa taratibu za jeshi la Polisi ili boksi hilo lifunguliwe.
Mwenge bado sanaMwenge ndio pachafu hivyo pamejaa hadi majitaka yaliyooza??
Nenda kalifungue wewe.Hapo hata kama kuna mtu alitekwa na kuuwawa wakifungua polisi watasema hakuna kitu,wananchi wangetakiwa wafungue wao kwanza