Boksi la ajabu ladaiwa kutelekezwa barabarani Mwenge, Dar es salaam

Boksi la ajabu ladaiwa kutelekezwa barabarani Mwenge, Dar es salaam

Boksi ambalo bado halijafahamika lina nini ndani yake limekutwa Kituo cha Mabasi cha kwenda Tegeta maeneo ya Mwenge, Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa mtaa wa Mlalakuwa, Suleiman Masare amesema kuwa boksi hilo lilitelekezwa tangu jioni ya jana Jumatano Agosti 5,2026.

Polisi washafika eneo la tukio na kwa sasa zinasubiriwa taratibu za jeshi la Polisi ili boksi hilo lifunguliwe.
Michezo ya kindezi ya chama cha majambazi
 
Back
Top Bottom