Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Inasemekana Lina damu, unajua wabongo Kwa kuzusha mambo ni hatari
"Baada ya kufanya uchunguzi wa awali na kulifungua sanduku hilo, wataalamu wetu walikuta ndani yake kipande cha mbao kilichochongwa kwa mithili ya mguu wa kiti au kitanda cha mtindo wa kizamani....!🤣🤣🤣 Ila watu...lengo lilikuwa tu kuleta taharuki
Wanatafuta matukio ya kusogeza muda na kupata umbea wa kusimulia jioni🤣Ila watu wa Dar kwa kukusanyika kwenye matukio yasio na kichwa wala miguu!
Sasa huyo mbaba hapo na ushababi wake !! Daaah!
Sasa mkuu SI usubirie wafungue utupe marejesho uliokamilika!Boksi ambalo bado halijafahamika lina nini ndani yake limekutwa Kituo cha Mabasi cha kwenda Tegeta maeneo ya Mwenge, Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa mtaa wa Mlalakuwa, Suleiman Masare amesema kuwa boksi hilo lilitelekezwa tangu jioni ya jana Jumatano Agosti 5,2026.
Polisi washafika eneo la tukio na kwa sasa zinasubiriwa taratibu za jeshi la Polisi ili boksi hilo lifunguliwe.
Haswa awamu hiiHii nchi ina ujinga mwingi sana sass hivi
😂😂😂Ila watu wa Dar kwa kukusanyika kwenye matukio yasio na kichwa wala miguu!
Sasa huyo mbaba hapo na ushababi wake !! Daaah!
Wanashangaza😁😁😁Wanaume wa mwenge wanaogopa kulipasua
Polisi wamekuja na difenda kisa hilo sanduku wakati angekuja poti mmoja tu na bodaboda, wamesema wamekuta mguu wa kitanda mmoja.Bado halijafunguliwa?
Kungekuwa na Bomu je?Polisi wamekuja na difenda kisa hilo sanduku wakati angekuja poti mmoja tu na bodaboda, wamesema wamekuta mguu wa kitanda mmoja.
HIlo sanduku lingefunguliwa tu kienyeji halafu kukawa na Bomu humo na likaua watu,mngekuja kuanzisha nyuzi humu za kuwasema Polisi,Polisi wamekuja na difenda kisa hilo sanduku wakati angekuja poti mmoja tu na bodaboda, wamesema wamekuta mguu wa kitanda mmoja.
Kwa hiyo difenda ndo zingezuia bomu kulipuka?Kungekuwa na Bomu je?
my friend jf binadam wa humu ni wengne tofauti yaan ni much know kuzidi maelezo. Hadi mtu anashndwa kutoa taarifa iliyokamilika. Yaan wanakera ni basi tu.Watu wengi wanaodhani wana akili nyingi wanabeza ila mimi nataka kujua humo ndani mna nini, mtoa mada usiacha kutupa updates tafadhali
Hayo ma hox ni miongoni mwa yanayoleta vipuri (spare kutoka nje) hivyo dereva jamaa alibeba akashindwana na dereva guter akalibwaga hapo katimka zake kwa kushindwana bei halina kitu zaidi ya vi miguu vya kitanda (yale matendegu kama ya sofa)Boksi ambalo bado halijafahamika lina nini ndani yake limekutwa Kituo cha Mabasi cha kwenda Tegeta maeneo ya Mwenge, Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa mtaa wa Mlalakuwa, Suleiman Masare amesema kuwa boksi hilo lilitelekezwa tangu jioni ya jana Jumatano Agosti 5,2026.
Polisi washafika eneo la tukio na kwa sasa zinasubiriwa taratibu za jeshi la Polisi ili boksi hilo lifunguliwe.
Waungwana habari ya box la ajabu,kwani lilikuwa na mbawa na kuruka au miguu na lilitembea au japo kutambaa?Boksi ambalo bado halijafahamika lina nini ndani yake limekutwa Kituo cha Mabasi cha kwenda Tegeta maeneo ya Mwenge, Dar es Salaam.