moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Ndiyo maana kuna wengine hapo wamesimama ki machale, kuna hisia inakuambia labda kuna kitu cha thamani ndani ya box, lakini nafsi pia inawaza huenda watu wenye nia mbaya wametegesha vilipuzi.Huo mkusanyiko, kama ni bomu, likilipuka litauwa wengi.
Rai wana kiu kuona kuna nini