moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ni anniversary ya wiki mbili sasa, but it feels like yesterday.
View attachment 3644651
Mkuu The Icebreaker njoo unaitwa 😂😂
.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ni anniversary ya wiki mbili sasa, but it feels like yesterday.
View attachment 3644651
Hao unaowaona wanashangaa shangaa box wameleta ndizi na magimbi kutoka Kiwira.Kwahiyo hapa ndio mjini daslama?
Na Hawa ndo wa daslama?
Duh !ngoja tuendelee kuwalimia viazi tuuh hapa isyonje!?
Okeeey!kwakusema Ivo unamaanisha hata ilo boksi/ sanduku tumekuja nalo sisi wa mkoani?Hao unaowaona wanashangaa shangaa box wameleta ndizi na magimbi kutoka Kiwira.
Wenye mji wao hawapo hapo.
2022 alinyanyua kwapa Leo.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mkuu The Icebreaker reaker njoo unaitwa 😂😂
Labda wampe kombe la Kulia uwanjaniCR7 analo kombe la dunia.
Analo by marriage si unajua demu wake ni muargentina.
Mwamba kwa kulia fundi sana.Labda wampe kombe la Kulia uwanjani
Box mmekuja nalo, box wamebebea mbuzi katoliki kutoka mkoani😂Okeeey!kwakusema Ivo unamaanisha hata ilo boksi/ sanduku tumekuja nalo sisi wa mkoani?
Hata ayo maji machafu hapo tumesafiri nayo kwenye Basi kuyaleta hapo mkuu?!
Anajua kila kitu huyo polisi waanze naeKakaa kimachale sana😂😂
Sio tukio dogo hilo inaweza kuwa mwili wa mtu umo humo. Sijui kwanini watu mnajiona spesho sanaIla watu wa Dar kwa kukusanyika kwenye matukio yasio na kichwa wala miguu!
Sasa huyo mbaba hapo na ushababi wake !! Daaah!
Wapuuzi tu! Kwa hiyo wanataka box km hilo likikitwa mtaani lipitwe tu!Watu wengi wanaodhani wana akili nyingi wanabeza ila mimi nataka kujua humo ndani mna nini, mtoa mada usiacha kutupa updates tafadhali
Si wanasema watu wa huko sio washamba.🤓🤓🤓🤓🤓
Boksi ambalo bado halijafahamika lina nini ndani yake limekutwa Kituo cha Mabasi cha kwenda Tegeta maeneo ya Mwenge, Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa mtaa wa Mlalakuwa, Suleiman Masare amesema kuwa boksi hilo lilitelekezwa tangu jioni ya jana Jumatano Agosti 5,2026.
Polisi washafika eneo la tukio na kwa sasa zinasubiriwa taratibu za jeshi la Polisi ili boksi hilo lifunguliwe.
Ili uonekane GT unatakiwa uwe unabeza na kupinga kila kitu 🤣Wapuuzi tu! Kwa hiyo wanataka box km hilo likikitwa mtaani lipitwe tu!
Ndiyo Mkuu HapaUkahamia Sumbawanga?
Any updates?
Mwisho wa siku kilicho kuwepo ulikiona lakini?Sio tukio dogo hilo inaweza kuwa mwili wa mtu umo humo. Sijui kwanini watu mnajiona spesho sana