Hahaahaaa.
Nanukuu:" ......
.tuwaachie mlioko Tanzania mufaidi mema ya nchi sisi tule zetu vumbi tuuh!?"
Mema yepi ya nchi ya kuona tendegu kwenye box lililo telekezwa hapo tangu jana?
Yan hawakuweza/walishindwa ku
Reason na kugundua kwamba lingelikuwa ni box lenye kitu cha thamani lisingetelekezwa hapo?.
Ni afadhali sisi wa mikoani jana kuamkia leo 07/08/2026tulilala salama bila kufikiria "lile box..?....?" na saaizi wengine wesha vuna tumahindi na kupiga walau alizeti.... hhuko shambani na siku imeisha; kuliko hao waliopoteza muda wao kusubiri kuona tendegu la kitanda likiwa kwenye box likitolewa na askari wenye waliokuja na difenda na mabunduki eti ni kitu cha ajabu kwao.

Sisi huku Umasaini ndani-ndani tunaweza kuwashangaa
morani wetu wanavyoweza kumtoa ng'ombe dume (
Kambaku au Orkiteng') kwenye shimo refu(
Orkesumet) bila msaada wa polisi wenye silaha.