Nakfa
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 12,104
- 16,477
Ukahamia Sumbawanga?Nilihama Dar Kwasababu Yapo Mambo Yanatia Kinyaa
Ukahamia Sumbawanga?Nilihama Dar Kwasababu Yapo Mambo Yanatia Kinyaa
Wamepima kwa sensor tayariKungekuwa na Bomu je?
Sasa hivyo vi miguu vya kitanda ndo spare au? Sijaelewa.Hayo ma hox ni miongoni mwa yanayoleta vipuri (spare kutoka nje) hivyo dereva jamaa alibeba akashindwana na dereva guter akalibwaga hapo katimka zake kwa kushindwana bei halina kitu zaidi ya vi miguu vya kitanda (yale matendegu kama ya sofa)
WBobgo acheni woga
Tuwavumilie ndio ndugu zetumy friend jf binadam wa humu ni wengne tofauti yaan ni much know kuzidi maelezo. Hadi mtu anashndwa kutoa taarifa iliyokamilika. Yaan wanakera ni basi tu.
Box lilikua tupu ila alolinunua baada ya kutolewa spare akaweka huko vifaa vyake vya kazi ili kubeba kwa pamoja kilichotisha watu ni ile kamba ilivyofungwaSasa hivyo vi miguu vya kitanda ndo spare au? Sijaelewa.
Kwa kweli ile ilikua kusogeza siku iende!Wanatafuta matukio ya kusogeza muda na kupata umbea wa kusimulia jioni🤣
asante kwa mrejesho mkuu mambaleeMREJESHO:
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limekuta kipande cha mbao kilichochongwa kinachofanana na mguu wa kiti au kitanda cha zamani ndani ya sanduku kubwa la mbao lililotelekezwa katika kituo cha daladala za Tegeta, Mwenge, Wilaya ya Kinondoni.
Kwa muujibu wa Jeshi la Polisi Dar es salaam, sanduku hilo, lililokuwa limefungwa kwa kufuli na kuzungushiwa kitambaa kwa mtindo wa jumlisha, lililozua taharuki miongoni mwa wananchi kabla ya kufunguliwa na timu ya wachunguzi.
Aidha, Uchunguzi unaendelea, huku tukio hilo likihusishwa na imani za kishirikina au jaribio la kuzua taharuki katika jamii.
umeona mrejesho?Tuwavumilie ndio ndugu zetu
Shida ni kwenda na difenda au kwenda wengi badala ya mmoja? Kama ni kwenda wengi ni lazima iwe hivyo, Kila mtaalamu alipaswa kuwepo hapo, kama ni WA mabomu, upelelezi, uchunguzi, nk....Kwa hiyo difenda ndo zingezuia bomu kulipuka?
Ni walewale wasio julikana ama 🤔🤔Boksi ambalo bado halijafahamika lina nini ndani yake limekutwa Kituo cha Mabasi cha kwenda Tegeta maeneo ya Mwenge, Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa mtaa wa Mlalakuwa, Suleiman Masare amesema kuwa boksi hilo lilitelekezwa tangu jioni ya jana Jumatano Agosti 5,2026.
Polisi washafika eneo la tukio na kwa sasa zinasubiriwa taratibu za jeshi la Polisi ili boksi hilo lifunguliwe.
Jamani bado hamjalifungua? 😂
Uajabu ni kwamba limekutwa mwengeUajabu wa hilo box ni upi hapo?
Yeah nimeonaumeona mrejesho?
Hata wewe ungekuwa eneo hilo ungejilaumu broHao wananchi watajilaumu sana ikiwa hilo box litakuwa na pesa au madini.