Bollywood-mtazamo wako kwa filamu hizi

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
8,774
Reaction score
13,566
Indian Telugu, action, comedy and Drama movie.

Mimi niseme tu, hakuna waigizaji wazur duniani kama wahindi,
Kwani wao uigiza maisha ya kwaida hasa ya majumbani na kuelezea sana jinsi ya kutoa malezi na tabia mbali mbali za wana familia

Lakin Mzungu yeye siko zote watu wanamshobokea na mavifaa yake ambayo huku bongo huwez hata kuyakuta,
Tecknologia nying ambazo tunazitazama kwa haraka haraka hata huwez kuona faida ya kuyatizama

Movie za kutumia akili wazungu wanazo lakin tatizo ni kuwa wanazitumia na mavifaa yao ambayo sina uhakika kama ni yaukweli au uhongo, na huku bongo hayapo.

Lakin ukitaka wajanja wa mtaan wapo huku Bollywood, wajanja wa mambo ya kifamilia wapo huku Bollywood. Mapenz ndio usiseme, utajifunza hadi kutongoza kwa kila muigizaji nitae kutajia hapa chin.

Jamani mimi zaman hakuna waigizaj niliokua nawachukia kama wahindi.
Lakini kwa sasa UNIAMBII KITU KUWAPONDA WAHINDI NIKAKUELEWA
I like Bollywood.

Wahindi wa zaman mm siwajui sanaa ila wanaotisha kwa kizazi cha sasa wote wako vizur hatar.

Allu Arjun
Ram charan teja
Tiger shroff- ana hit kwa sasa
NT Rama Rau jr
Hrithic Roshan
Prabhas- aka Bahubali
Ally-comedian
Prakash raj
Bramanadhan- comedian

Bila kuwasahau-
Amir khan
Salman khan
Akshay kumar
Vidyut jamwal
Shahrukh khan
John abraham
Suriya

Kwa wasichana huwa nashindwa kuwakalili majina.

Wasake hao mastar ndio utajua utamu wa Bollywood.

NOTE: Series za kihind sizipendi.
In shot waangalia series wote wanapenda kudanganywa danganywa, ni upuuzi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,acha kufananisha movies za Hollywood na vitu vya kijinga.

We movie za kihindi unabashiri kabisa nini kitafuata halafu uwafananishe na wazungu?

Wazungu hata kama wanaekti lakini wanajitahidi kwa kweli
 
Naomba ushahidi kwa wasanii wa kizazi kipya tajwa hapo juu.
Sasa mm nakwambia siku hizi wahindi wanacheza trick mbayaa
Yani very clever.

Mimi siwez kudata na hayo mamitambo ya wazungu.
Wazungu kwenye teckonologia tu hapo nawanyooshea mikono.

Muhindi yupo tayar kufa kisa mapenz.
Mzungu humshawish kwa hilo hata siku moja na wana tamadun mbaya kabisa hazijeng hata kidogo
Chaputa tumijifunzia kwa wazungu.

Ni upekee ulioje, mwanaume akiwa amepata mke, mke ndie anatoa mahar.
Uhoni upekee wa muhind tu hadi hapo????
Mkuu,acha kufananisha movies za Hollywood na vitu vya kijinga.

We movie za kihindi unabashiri kabisa nini kitafuata halafu uwafananishe na wazungu?

Wazungu hata kama wanaekti lakini wanajitahidi kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ongezea huyu padlock khan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The Hollywood industry is uncomparable man.

You can find in Hollywood every type or genre film startin with war,love,thriller,sci-fi,comed,historical etc something that is impossible to bollywood.

Its wastage of time to learn to approach woman/girls through movies.

Let go back in your list dude.

-NTR is my favorite actor nowdays and i have a lot of his movies.
-Ram Chalan Teja
-Shuh khan han is my best actor since then to now and I can say he is king of 3 khans.
-Amir khan and salman khan.
-Kajor(women)

but remember Hollywood industry is uncomparable Never.
 

Yaani hizo movies steling anakufia kwenye maua ndio uniaminishe kuwa ni nzuri kuliko za Hollywood?

Hata zisizotumia Hi-tech still huwezi kuzifananisha na za wahindi.Acha mzungu aitwe mzungu tukiongozi
 
War- vita
Thriller- mavitu ya kutisha
Historical

Yani mkuu hayo yote hapo juu ni upumbavu tu- mimi nakwambia hayaelimish chochote bali ni kuburudishwa kwa vitu nonsense kabisa.

Mavempare yanakusaidia nini sasa.???
Mabomu ya gudondosha magolofa yanakusaidia nn???
Hata mm huwa naangali lakin ni kukosa kazi tu na mwisho wa siku hata sion maana yake

Mm nimekitajia wasanii wengi sana na wengi najua huwafahamu
Hao 3 khan na Ram pekee hawatosh wew kujua utamu wa Bollywood.
Hollywood ni upuuzi tu.

Maishan movie iliyonigusa yenye kuonyesha maisha ni 2 tu.

Spider man.
Black panther. Only
Ndio wanqonyesha story ya kimaisha.
Kakini ujinga mwingine wa kukimbiza magar, sijui lobe za hollywood za kishamba kabisa.

Tatizo vijana mnapagawa na animation, mnasahau kuwa unatakiwa uchukue maudhui kutoka katika filamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wew najua unapagawa na animation za mzungu, huo ni ujinga,
Wew yani maudhui mengi ya movie za kizungu huwa ni Animation za ajabu peke yake.
Yaani hizo movies steling anakufia kwenye maua ndio uniaminishe kuwa ni nzuri kuliko za Hollywood?

Hata zisizotumia Hi-tech still huwezi kuzifananisha na za wahindi.Acha mzungu aitwe mzungu tukiongozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
New movie,
The rock- Rampage.

Let me ask you,
Unajifunza kipi cha maana mbali na hzo animation?
Mm niliangalia hadi behind the scene yake.
Alisaidia nchi yake sawa, walitudanganya walivo mkuza yule nyani,
Alafu then nn ai upumbavu tu wanatupiga fix magorofa yanavo anguka.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbali na technologia mzungu ana nn kingine.???
Yaani hizo movies steling anakufia kwenye maua ndio uniaminishe kuwa ni nzuri kuliko za Hollywood?

Hata zisizotumia Hi-tech still huwezi kuzifananisha na za wahindi.Acha mzungu aitwe mzungu tukiongozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,acha kufananisha movies za Hollywood na vitu vya kijinga.

We movie za kihindi unabashiri kabisa nini kitafuata halafu uwafananishe na wazungu?

Wazungu hata kama wanaekti lakini wanajitahidi kwa kweli
Kama movie za bollywood ni za kijinga kwanini siku hizi wanawachukua wake wakaact kwenye hollywood
Mfano priyanka chopra in quantico
Deepika padukone in fast furious

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sanaa ni pana sana, na wanachokifanya wazungu ni kitu chenye washabiki sikatai, huyo dada kafata soko la huko pia.

Lakin MIMI NISEME WAZI KUWA HAVINA MANTIC SANA, KWA SS WABONGO.

bora muangalie johari na kanumba nafuu kidogo.

Comedy na education unaweza kukuta comedy ikawa na wapenz wengi.
Lakin ki logically comedy na education video kipi cha Muhimu zaidi?
Kama movie za bollywood ni za kijinga kwanini siku hizi wanawachukua wake wakaact kwenye hollywood
Mfano priyanka chopra in quantico
Deepika padukone in fast furious

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niko na traffic ya Jim shergill

Bollywood wako vzr sana..nawapenda sana

Wakaka wengine Arjun Kapoor,Ranveer Singh
Sidhart malhotra
Varun Dhawan!
Aditya Pancholi

Wadada
Aliya that
Sara ali khan
Jhanvi kapoor(mtoto wa sri devi na boney kapoor)
Sara na jhanvi wamedebut last year
Anushka dharma
Shradhha kapoor
Athiya shetty

Disha Patani
Zarina Khan
Tapseee
Tammannah bhatia
Deepika Padukone

Sonam kapoor
Hawa ni wale waliozaliwa 1985 kuja juu huku
 
Nilisoma sehemu moja King khan ni mwanadamu anaejulikana zaidi kuliko Tom Cruise..nikakaaa nikauliza hapa nyumbani wangapi wanamjua Srk woteeee...Tom Cruise hayupo hata mmoja zaidi yanguπŸ˜€πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€!!!jibu nikalipata mwenyewe
 
Unataja vipi waigizaji wa kihindi halafu unamuacha Priyanka Chopra [emoji85][emoji85][emoji85] ndio muigizaji pekee wa kihindi ambae nimeshika jina lake

Sent using Jamii Forums mobile app
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€peecee wanamuita Priyanka anajitahidi japo Mimi simkubali kivileee
 
Daah kweli hii list ni ya wahenga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…