Kijana Mumbai ni kama dar ili utoke kisanaa lazima huishi Maharashastra hasa jiji la Mumbai na ukishakuwa star inakulazimu kuishi Mumbai kama wasanii wa Tz walivyojazana dar.
Watu kama SRK na Lakshi Lalwani hawajazaliwa Maharashastra lakini sasa hivi wanaishi huko.
Kuhusu huyo jamaa mweusi kupewa scene mbovu sababu kubwa yaweza kuwa mwonekano kwa mfano Hrish Kapoor alikuwa anacheza kama jambazi kwa sababu ya mwonekano.
Mwonekano wa SRK na Hrithik Roshan unawabeba kupewa nafasi ya juu(sterling) kwenye movie.
Karibu Bollywood.