Bollywood-mtazamo wako kwa filamu hizi

Bollywood-mtazamo wako kwa filamu hizi

Figisu figisu huwa zipo tu kila sehemu hata mbele pia zipo
Sema nilichogundua nikua hujui kitu gani kinakufanya uchukie bollywood movies
Indians na boliwood yao siwapendi siwapendi kama ambavyo hawanipendi....huwezi Ku hit sana kama unatokea kundi Fulani la jamiiiii
Kuna jamaa tulimwangalia tangu tukiwa watoto yeye anapangiwa scenes za ovyoovyo tuu kisa ana asili ya uweusi.....ili uhit boliwodi lazima utokee Tabaka fulani la wakaa Mumbai hahaaaaa tofauti na Hollywood any one can hit any time

Congo siyo Kongowe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani yule jamaa ilitakiwa awe tajiri kabisaa lakini mfumo wa kitabaka umemkaba vibaya...watoto wadogo wanamkuta ktk gemu wanatusua kisa tu ni tabaka la juu stupid Indian

Congo siyo Kongowe
Sanaa wahindi wabaguzi mnoo..sasa hivi anafanyaga stand up comedy naonaga matangazo yake kwenye TV
 
Nilisoma sehemu moja King khan ni mwanadamu anaejulikana zaidi kuliko Tom Cruise..nikakaaa nikauliza hapa nyumbani wangapi wanamjua Srk woteeee...Tom Cruise hayupo hata mmoja zaidi yangu😀😁😁😁😁😁😀😀😀😀😀😀!!!jibu nikalipata mwenyewe
I always know SRK is king of romance movie in bollywood and Amir Khan is King of all Khan but I was totally wrong dah!.
 
I always know SRK is king of romance movie in bollywood and Amir Khan is King of all Khan but I was totally wrong dah!.
😀😀😀😁😀absolutely wrong broh!
Srk ndo kila kitu kwa wadada na watoto kwa wakaka mnyama Amir...

SRK ndo mpango mzima!!!
 
Natamani nikupe likes hata 200.
List ya wanaume umeitendea haki sana hasa hapo Tiger Shroff
Kuna mwingine anaitwa Laksh Lalwani(sterling kwenye PORUS)
Kwa wanawake nawakubali baadhi kama
Kajol na Catrina Kaif
Ila kati ya waigizaji wote duniani(wanawake) namkubali na kumpenda sana Suhani Dhanki, may be kwa kuwa anafanana sana na ubavu wangu(kaigiza Porus as Laachi.
Wazungu kwa bollywood wakasome tena.
Kama sio movie ya Kihindi bora niangalie TBC.
Live long Bharat
Live long Bollywood.
 
Indians na boliwood yao siwapendi siwapendi kama ambavyo hawanipendi....huwezi Ku hit sana kama unatokea kundi Fulani la jamiiiii
Kuna jamaa tulimwangalia tangu tukiwa watoto yeye anapangiwa scenes za ovyoovyo tuu kisa ana asili ya uweusi.....ili uhit boliwodi lazima utokee Tabaka fulani la wakaa Mumbai hahaaaaa tofauti na Hollywood any one can hit any time

Congo siyo Kongowe
Kijana Mumbai ni kama dar ili utoke kisanaa lazima huishi Maharashastra hasa jiji la Mumbai na ukishakuwa star inakulazimu kuishi Mumbai kama wasanii wa Tz walivyojazana dar.
Watu kama SRK na Lakshi Lalwani hawajazaliwa Maharashastra lakini sasa hivi wanaishi huko.
Kuhusu huyo jamaa mweusi kupewa scene mbovu sababu kubwa yaweza kuwa mwonekano kwa mfano Hrish Kapoor alikuwa anacheza kama jambazi kwa sababu ya mwonekano.
Mwonekano wa SRK na Hrithik Roshan unawabeba kupewa nafasi ya juu(sterling) kwenye movie.
Karibu Bollywood.
 
Mimi siyo mgeni ktk bolliwood na najua ninachozungumza

Congo siyo Kongowe
 
Ni sawa
Hata Mm ni shabiki wa Van Disel, but hata yeye wa kawaida sana, sema namkubar kidogo huwa anaweza na love story kweny movie
Sorry Sir.

I do have network problem here therefore i need to retype my post but lemme answer this first

Dude i had never been the Rock fan never i remember the last time to watch a film including him was fast and furious seven since there i did not watch any of his film therefore to tell you truth I know nothing about him generally.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FB_IMG_1545479499280.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom