Bollywood-mtazamo wako kwa filamu hizi

Bollywood-mtazamo wako kwa filamu hizi

Raynavero SRK is best actor no doubt about it but also you can go and watch him in TED Talk,He talked about Humanity,Love and fame,You can love him more hahahaaa

Suriya, I get some problem here in posting long comment I don't why by the way I was fanboy of Walker since his death Fast is nothing to me.
 
Tiger shroff_Baaghi
images-21.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raynavero SRK is best actor no doubt about it but also you can go and watch him in TED Talk,He talked about Humanity,Love and fame,You can love him more hahahaaa

Suriya, I get some problem here in posting long comment I don't why by the way I was fanboy of Walker since his death Fast is nothing to me.

Mstaarabu sana SRK halafu anamheshimu sana mkewe japo ile kashfa yake na PeeCee ilitaka kumharibia
 
Kama huja watch hii movie fanya kuitafuta,
Amir khan kaigiza akiwa na watoto wa kike wawili

mm sipend wrestling, lakin ilikuja kunoga hyo movie balaa,

Wanonyesha maisha yalivokua mwanzo mwisho, na watoto walikua wanajibebea tuzo za kimataifa.

Nadhan ndipo na Salman khan juzi juzi akato- Sultan, movie akicheza wrestling
images-18.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
wahindi hapana! nagombana na yf kwa ajili ya mitamthilia ya kihindi ya azam mpk nimehamia kusikiliza radio
 
Indian Telugu, action, comedy and Drama movie.

Mimi niseme tu, hakuna waigizaji wazur duniani kama wahindi,
Kwani wao uigiza maisha ya kwaida hasa ya majumbani na kuelezea sana jinsi ya kutoa malezi na tabia mbali mbali za wana familia

Lakin Mzungu yeye siko zote watu wanamshobokea na mavifaa yake ambayo huku bongo huwez hata kuyakuta,
Tecknologia nying ambazo tunazitazama kwa haraka haraka hata huwez kuona faida ya kuyatizama

Movie za kutumia akili wazungu wanazo lakin tatizo ni kuwa wanazitumia na mavifaa yao ambayo sina uhakika kama ni yaukweli au uhongo, na huku bongo hayapo.

Lakin ukitaka wajanja wa mtaan wapo huku Bollywood, wajanja wa mambo ya kifamilia wapo huku Bollywood. Mapenz ndio usiseme, utajifunza hadi kutongoza kwa kila muigizaji nitae kutajia hapa chin.

Jamani mimi zaman hakuna waigizaj niliokua nawachukia kama wahindi.
Lakini kwa sasa UNIAMBII KITU KUWAPONDA WAHINDI NIKAKUELEWA
I like Bollywood.

Wahindi wa zaman mm siwajui sanaa ila wanaotisha kwa kizazi cha sasa wote wako vizur hatar.

Allu Arjun
Ram charan teja
Tiger shroff- ana hit kwa sasa
NT Rama Rau jr
Hrithic Roshan
Prabhas- aka Bahubali
Ally-comedian
Prakash raj
Bramanadhan- comedian

Bila kuwasahau-
Amir khan
Salman khan
Akshay kumar
Vidyut jamwal
Shahrukh khan
John abraham
Suriya

Kwa wasichana huwa nashindwa kuwakalili majina.

Wasake hao mastar ndio utajua utamu wa Bollywood.

NOTE: Series za kihind sizipendi.
In shot waangalia series wote wanapenda kudanganywa danganywa, ni upuuzi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aaaaa mkuu tutake radhi wapenda series
Unasema tu mkuu haujaangalia Naagin mkuu huwezi acha ifatilia

Bado iliyotoka mwezi wa 12 ya mwanadada adaakhan inaitwa vish ya amrit sitaara

Bado haujaangalia hizo,hautaacha kufatilia

Nikihamia upande wa korea+Chinese drama ndo kabisa nasahau maharage jikoni

[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aaaaa mkuu tutake radhi wapenda series
Unasema tu mkuu haujaangalia Naagin mkuu huwezi acha ifatilia

Bado iliyotoka mwezi wa 12 ya mwanadada adaakhan inaitwa vish ya amrit sitaara

Bado haujaangalia hizo,hautaacha kufatilia

Nikihamia upande wa korea+Chinese drama ndo kabisa nasahau maharage jikoni

[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuu tatizo matukio huwa yanachelewa sana, wanakua na polojo nying zisizo na maana.

Mimi najua nyie wapenda series huwa mnapenda kukaa mkitizama sura za waigizaji na kupenda kuona waki fall fall kwa mambo,
Series nyingi zimejaa maelezo ya weakness za watu fulani jast why zinakua ndefu.

Tofauti na movie kama hiyo ya Dabangg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom